Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano ni kitu MFU ambacho hakina faida yoyote kwa kizazi cha sasa. Walaaniwe Nyerere na Karume kwa kuasisi jinamizi hili.
 
Tangu,ujana wangu naimbishwa muungano wa tnganyika na zazibar. Nimeimba, nimeshangilia na kusherekea sana. Sasa najiuliza kitu gani ningekikosa Kama muungano usingekuwepo. Naona muungano Kama dude la kisiasa lisilolukuwa na faida za kiuchumi. Katika nchi zilizosheheni viongozi wachoyo na wabinafsi, si rahisi kuwa na muungano wenye manufaaa. EA C nayo ni dude la kusiasa.
liuna madictator akina mseven, nkurunzinza, kagame na ccm. Yote ni ubatili mtupu
 
Jibu la faida ya muungano, ni sawa na faida ya Tanga, Arusha, Lindi, Kigoma etc, hizi ni sehemu ya Tanzania.

Miaka mingi nyuma Zanzibar ilikuwa ichi moja na Tanganyika, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, Zanzibar ikamegeka ma kuwa kama sehemu nyingine. Watu wa kule . ukiondoa wale wa kuja, ni ndugu zetu!, hivyo kitendo cha kuchanya udogo ni uthibitisha wa kuwa wamoja!, hivyo Zanzibarr ni sehemu yeti, ni mali yetu, ni haki yetu!.

Pasco
 
Sio kila jambo lina faida, kuna mambo mengine yapo tu ili mradi siku ziende. Faida za muungano zinategemea na wewe unauangalia muungano tokea wapi. Ukiuangalia muungano toka tanzania kwenda zenj utaona faida ya ulinzi.
Toka zenj kuja bara utaona fursa za kibiashara. Hebu jiulize leo hii ungekuwa unakwenda zanzibar kwa passport. Hivi zanzibar wanalima nn, hivi kule wana mtera au kidatu?.
Bila muungano kila siku zanzibar kungekuwa na mapinduzi.
 
Pasco haya maneno kweli umeyaandika wewe au?? Moja baridi moja moto ipo kichwani[emoji15]
 
Sio kila jambo lina faida, kuna mambo mengine yapo tu ili mradi siku ziende. Faida za muungano zinategemea na wewe unauangalia muungano tokea wapi. Ukiuangalia muungano toka tanzania kwenda zenj utaona faida ya ulinzi.
Toka zenj kuja bara utaona fursa za kibiashara. Hebu jiulize leo hii ungekuwa unakwenda zanzibar kwa passport. Hivi zanzibar wanalima nn, hivi kule wana mtera au kidatu?.
Bila muungano kila siku zanzibar kungekuwa na mapinduzi.
Ama wewe kweli mbululaz wa mwisho hivi visiwa vya Comoros na Madagascar vipo kwenye Muungano?? Vipi kuhusu ulinzi juu ya Tanganyika?
 
Sio kila jambo lina faida, kuna mambo mengine yapo tu ili mradi siku ziende. Faida za muungano zinategemea na wewe unauangalia muungano tokea wapi. Ukiuangalia muungano toka tanzania kwenda zenj utaona faida ya ulinzi.
Toka zenj kuja bara utaona fursa za kibiashara. Hebu jiulize leo hii ungekuwa unakwenda zanzibar kwa passport. Hivi zanzibar wanalima nn, hivi kule wana mtera au kidatu?.
Bila muungano kila siku zanzibar kungekuwa na mapinduzi.
Nani alifanya Mapinduzi ya Zanzibar?
Na nani anabaka demokrasia Zanzibar kila unapoitishwa uchaguzi mkuu?
 
Jibu la faida ya muungano, ni sawa na faida ya Tanga, Arusha, Lindi, Kigoma etc, hizi ni sehemu ya Tanzania.

Miaka mingi nyuma Zanzibar ilikuwa ichi moja na Tanganyika, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, Zanzibar ikamegeka ma kuwa kama sehemu nyingine. Watu wa kule . ukiondoa wale wa kuja, ni ndugu zetu!, hivyo kitendo cha kuchanya udogo ni uthibitisha wa kuwa wamoja!, hivyo Zanzibarr ni sehemu yeti, ni mali yetu, ni haki yetu!.

Pasco
Pasco wacha utani. Kasome tena geography ama pia search google. Zanzibar haija meguka ila ni visiwa vilivyo kuja juu baada ya mlipuko wa Volcano.
 
Jamaa Muungano hauna faida yoyote tusidanganyane bure. Muungano ulikuwa ni makubaliano kiulinzi lakini mmoja akampiga mweleka mwengine ndio ikawa muungano huuu FEKI. Hauna maana kwa tanganyika wal kwa zanzibar ila mateso tu.
 
Kamwe msikubali kuonewa Muungano wa nchi mbili na hadhi sawa . Udhalishaji wa Mzanzibari haukubaliki. Jamhuri ya Zanzibar oyee.Tumechoka dhulma.
 
Nijuavyo mimi, Muungano ukifa, Katiba yetu inabadilishwa. Jina la nchi na Muundo wa Serikali lazima vibadilishwe. Kwa maana nyingine, tunabadili usajili wa Jina la Taifa letu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa. Au si hivyo??!!
Hapo ni kurudisha jina la zamani Tanganyika kwenye usajili UN, bahati nzuri hakuna nchi iliyolichukua
 
PASCO,
Sasa nimejua faida ya muungano na kwa nini unalindwa kwa gharama zote. Nilioyasikia jana kwenye Bunge yamenielimisha na yaliotokea tarehe 28 Oktoba 2015 kule Zanzibar na jinsi JWTZ lilivyotumika " kukandamiza maamuzi ya wengi! Hongera Mkuu wa Majeshi; kwa ufupi nimejifunza:-
1. Tanganyika chini ya mwavuli wa JWTZ walitekeleza tu sheria ya " the law of the Jungle"

2. Kwanini bunge halirushi matangazo yake " live"
 
Wanajamvi, Kwetu sisi au kwa viongozi wetu, kuhusiana hili la uwepo au kutowepo kwa huu muungano; unaopendwa kwa upande mmoja na kuchukiwa kwa upande mwingine; huenda ikawa kumbe tumekuwa tukitishana na kuhofia vitu tusivyovijua na ambavyo aghalabu haijuzu kutokea kabisa!

Nani anajua pengine kwenye msambaratiko wetu tunahofia faida ama kama si kujipunguzia mizigo kwa kila upande, iwe bara au visiwani.

Kusema kweli kama ni faida au hasara za kuungana kwetu tumeishazionja sana kiasi cha wengi kuonekana kukinaiwa!.

Lakini ni nani anajua aina ya radha itakayotokea mara baada ya Tanganyika na Zanzibar kutengana, pale kila nchi itakaporazimu kusimama kwa miguu yake yenyewe?

Je hali hii unaisubiri kwa hamu kama sega la asali au kwa hofu kama chungu ya shubiri?

Karibuni nyote!
 
Hili swali labda uwe mgeni, lakini ukifukua nyuzi za zamani utaona tu
 
mimi kama m.bara naona itakavyokuwa ni sawa tu muungano uwepo au usiwepo ila naamini wazanzibar wakipewa nafasi ya kuvote IN or OUT nahisi more than 60% yao watavote OUT URT aka URTEXIT. I.e. wametuchoka. wametukinai. hawatupendi. hawatupendi n.k. zote
 
Tunarudi kwenye zama za kale za mawe.mwafrika wa sasa ni bure kbsa tuungane tu umoja ndio ushindi.
 
Back
Top Bottom