Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasco haya maneno kweli umeyaandika wewe au?? Moja baridi moja moto ipo kichwani[emoji15]Jibu la faida ya muungano, ni sawa na faida ya Tanga, Arusha, Lindi, Kigoma etc, hizi ni sehemu ya Tanzania.
Miaka mingi nyuma Zanzibar ilikuwa ichi moja na Tanganyika, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, Zanzibar ikamegeka ma kuwa kama sehemu nyingine. Watu wa kule . ukiondoa wale wa kuja, ni ndugu zetu!, hivyo kitendo cha kuchanya udogo ni uthibitisha wa kuwa wamoja!, hivyo Zanzibarr ni sehemu yeti, ni mali yetu, ni haki yetu!.
Pasco
Ama wewe kweli mbululaz wa mwisho hivi visiwa vya Comoros na Madagascar vipo kwenye Muungano?? Vipi kuhusu ulinzi juu ya Tanganyika?Sio kila jambo lina faida, kuna mambo mengine yapo tu ili mradi siku ziende. Faida za muungano zinategemea na wewe unauangalia muungano tokea wapi. Ukiuangalia muungano toka tanzania kwenda zenj utaona faida ya ulinzi.
Toka zenj kuja bara utaona fursa za kibiashara. Hebu jiulize leo hii ungekuwa unakwenda zanzibar kwa passport. Hivi zanzibar wanalima nn, hivi kule wana mtera au kidatu?.
Bila muungano kila siku zanzibar kungekuwa na mapinduzi.
Nani alifanya Mapinduzi ya Zanzibar?Sio kila jambo lina faida, kuna mambo mengine yapo tu ili mradi siku ziende. Faida za muungano zinategemea na wewe unauangalia muungano tokea wapi. Ukiuangalia muungano toka tanzania kwenda zenj utaona faida ya ulinzi.
Toka zenj kuja bara utaona fursa za kibiashara. Hebu jiulize leo hii ungekuwa unakwenda zanzibar kwa passport. Hivi zanzibar wanalima nn, hivi kule wana mtera au kidatu?.
Bila muungano kila siku zanzibar kungekuwa na mapinduzi.
Pasco wacha utani. Kasome tena geography ama pia search google. Zanzibar haija meguka ila ni visiwa vilivyo kuja juu baada ya mlipuko wa Volcano.Jibu la faida ya muungano, ni sawa na faida ya Tanga, Arusha, Lindi, Kigoma etc, hizi ni sehemu ya Tanzania.
Miaka mingi nyuma Zanzibar ilikuwa ichi moja na Tanganyika, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, Zanzibar ikamegeka ma kuwa kama sehemu nyingine. Watu wa kule . ukiondoa wale wa kuja, ni ndugu zetu!, hivyo kitendo cha kuchanya udogo ni uthibitisha wa kuwa wamoja!, hivyo Zanzibarr ni sehemu yeti, ni mali yetu, ni haki yetu!.
Pasco
Hapo ni kurudisha jina la zamani Tanganyika kwenye usajili UN, bahati nzuri hakuna nchi iliyolichukuaNijuavyo mimi, Muungano ukifa, Katiba yetu inabadilishwa. Jina la nchi na Muundo wa Serikali lazima vibadilishwe. Kwa maana nyingine, tunabadili usajili wa Jina la Taifa letu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa. Au si hivyo??!!