Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa upande wa wananchi Kuna faida kubwa sana , hakuna hasara hata moja .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiUsalama wa wazanzibar utakuwa mdogo sana tukiwaachia
Hivi sasa kuna usalama gani huku wapemba wakinyanyaswa na kuteswa mithili ya watumwa kwenye nchi yao?Usalama wa wazanzibar utakuwa mdogo sana tukiwaachia
Salaam ndugu zangu woteKivipi
Mbona ukinunua kitu zenji hapa lazima ulipie mara mbili tena. Huo u freee uko wapi?Umoja ni nguvu.
Free movement of people ,goods and services.
Security fortified , for both countries.