Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka ss tz bara tuna zaidi ya miaka 45 ya muungano na visiwa vya pemba na unguja, ss tz bara tunafaidika nn hasa na huu muungano? Binafsi sioni sbb ya kuendelea kuwa nao. Naomba mowazo chanya zaidi
Faida ya Muungano ni nyinyi kujengewa majengo ya kistaarabu na Wapemba na kutoka mabara kuja kuyashangalia maghorofa mkiwaachia Wahindi kuishi na kutanua.Faida za muungano ni kwa wazanzibari kupata mahali pa kufanyia biashara na kuzaliana sana kuliko kwao ukiachia mbali kubebwa katika kila jambo.
Je wale maadui wanaotokea kenya, msumbiji, rwanda, burundi n.k hao tunawawekaje mbali?Unatusaidia kuweka maadui mbali na pwani yetu kwa Dar es salaam. Tuna mahali pa kuweka majeshi yetu!!
Sio lazima kila muungano uwe na faida, na kwa watanganyika huu muungano ni hasara tupu. Hiyo hoja ya usalama ni dhaifu sana maana kuna nchi ziko karibu na visiwa kama sao tome, cape verde na hata comoro lakini ziko salama na wala hazijalazimisha muungano.Hakuna muungano usio na faida tatizo ni kwamba una mapungufu mengi na tangu mwanzo malengo yake hayakuwa wazi mambo yake mengi hayajadiliwi kwa uwazi na ukweli.
Kwa maoni yangu mimi naona tatizo liko hapo.
Kama ishu ilikuwa kukumbuka taifa la 1885 mbona hawakuungana na rwanda na burundi?Kwavile hatujui historia ya upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika na Zanzibr ndiyo maana tunataka Muungano uvunjike, nawadokeza kidogo:-
1. Muungano ulikuwa kwaajili ya kulikumbuka taifa la awali lililoundwa mwaka 1885 ambalo ndilo lililotoa waasisi wa uhuru wetu ila historia yetu ya upatikanaji uhuru wetu hatujaikamilisha ndiyo maana tunapata taabu ju ya hili.
2. Muungano ungekuwa wa serikali moja kama tulikokua tunaelekea haya yasingekuwepo.
3. Mwisho tutafute namna ya kujitambua sisi na taifa letu tukizingatia historia ya uwepo wa mataifa yetu mawili na jamhuri yetu bila ya mashinikizo ya nje kisha tujipange upya tufike tunakokwenda, la sivyo tutanyang`aywa dhahabu na wajanja kisha tupewe jiwe tushangilie kama mazuzu sasa, baadae tulalamike kama tufanyavyo kwenye miliki za vyetu, elimu, ajira, viwanda nk.
mpaka ss tz bara tuna zaidi ya miaka 45 ya muungano na visiwa vya pemba na unguja, ss tz bara tunafaidika nn hasa na huu muungano? Binafsi sioni sbb ya kuendelea kuwa nao. Naomba mowazo chanya zaidi
Sio lazima kila muungano uwe na faida, na kwa watanganyika huu muungano ni hasara tupu. Hiyo hoja ya usalama ni dhaifu sana maana kuna nchi ziko karibu na visiwa kama sao tome, cape verde na hata comoro lakini ziko salama na wala hazijalazimisha muungano.