Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali tatu ndio suluhisho
Serikali ya Tanganyika yenye makao makuu Dodoma
Serikali ya Zanzibar yenye makao makuu Unguja
Serikalu ya ndogo ya JMT yenye makuu Dar es Salaam.
Kelele zote zitaisha
Serikali tatu kwa faida ya nani? Kwa nini tusivunje muungano wenyewe? Una faida gani kwa bara au visiwani? Huu ulikuwa muungano wa Karume na Nyerer,sasa wote wamekufa, ni vyema na muungano wao ukawafuata.
Muungano
hautavunjika huo ni national pride; muundo utabadilishwa period..kwa
faida ya taifa na wananchi wake..
Muungano hautavunjika huo ni national pride; muundo utabadilishwa period..kwa faida ya taifa na wananchi wake..
Comrade punguza jazba kidogo ndg yng kuungana ni jambo jema kabisa na kuungana si kutokutofautiana tofauti za mapishano lazima ziwepo kusolve hizo tofauti ndio ukomavu wa Muungano.Serikali tatu kwa faida ya nani? Kwa nini tusivunje muungano wenyewe? Una faida gani kwa bara au visiwani? Huu ulikuwa muungano wa Karume na Nyerer,sasa wote wamekufa, ni vyema na muungano wao ukawafuata.