Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Ndo Maana Mliambiwa muende shule!!!! Haya mambo yako primary mpaka sekondary!!!

Zifuatazo ni faida za muungano!!
1~Ajira zinapatikana kwa kila upande...

Hayo uliyoyataja yote 1 - 4, yangewezekana hata pasingekua na huo muungano. tizama Umoja wa Ulaya mbona kila mmoja ana nchi yake na wanashirikiana mambo mengi tu.
 
Muungano ulifanyika kumzuia Sultan kurudi Visiwani hata akipata msaada wa kijeshi kutoka Oman. Hili limefanikiwa lakini aliyelifanikisha amewaacha Wangazija na Wapemba umasikini mkubwa.

Kiuchumi Sultani angekuwepo sasa hivi Visiwa vingekua kama Dubai.
Hahahaha kwa nini kwa sasa visiwa vimeshindwa kuwa kama Dubai?
 
Mi sijui kwakweli faida kubwa mbali ya hiyo kusafiri free kwenye hizi nchi mbili.

Ila niliuliza nikapewa eti sababu za kiusalama zaidi, kwamba bara inaweza kuingiliwa na maadui kupitia Zanzibar kama zikitengana sijui maadui gani sasa wenye shida na sisi.

Hii ndio sababu kubwa. Nyingine ni kwaajili ya kujaza vitabu vya historia na uraia.
 
Muungano una faida kubwa nyingi kwa bara kuliko zanzibar, kwanza ukivunjika ieleweke tutakuwa na ukanda wa bahari mdogo sana maana nasikia beach yote ya bahari ni mali ya zanzibar, pili ki uchumi zanziba ikiwa nchi biashara zote zitafanyika kupitia zanzibar hivo badari zetu zote zitakufa kifo cha mende maana zenj itakuwa free port

Sababu kama hizi huwezi kukuta kwenye vitabu vya shule.
 
Hayo uliyoyataja yote 1 - 4, yangewezekana hata pasingekua na huo muungano. tizama Umoja wa Ulaya mbona kila mmoja ana nchi yake na wanashirikiana mambo mengi tu.
Huyo kama alienda shule alitoka pasipo kuelimika.
 
Leo hii Wazanzibari sijui kama wanafuatilia mambo yanayoendelea Ikulu ya Tanganyika, baada ya Hayati Magufuli kuondoka kuna watu pale waliguna na kupaza sauti, na kuchukizwa na wengine kugalagala na kusaga meno...
Una maana kuna wazanzibari hawakufurahia Samia kuwa rais?!
 
faida ya tatu wazanzibar wana roho mbaya sana tena sana tena sana mimi ni mtanzania mwenye asili ya kiarabu nimezaliwa tanzania bara na ni muislamu ninawajua hawa ni majirani zangu daressalaam roho zao kama mashetani wafukuzwe wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe hii faida ya kumpata mama mzanzibari ambaye ni kiongozi mtaratibu anayependa watu huioni? watu walishachoka na ukandamizaji wa mungu mtu....
 
Leo tunasherekea miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).

Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.

Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.

Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.

Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.

Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.

Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
 
Sio Hilo tuu hata sababu za Dodoma kuwa makao makuu ziliishia hapo ndo mana maraisi wengine waliona ni wastage of money kurundika majengo mengine Dodoma wakat unayo DSM , Ila mkrupukaji akawaona wenzake kama mazwazwa , akaamkia kwenye gia bila kuwaza Kwa kina na tafakur....
 
Faida za Muungano zimebakia ni za ki-academic au kihistoria. Watu wanaogopa kuvunja Muungano utadhani kabla ya 1964 kulikuwa hakuna Tanganyika au ZNZ.

Tunaichelewesha bure ZNZ kupata maendeleo kipitia kipaumbele vyao na raslimali zao. Ni uwongo kusema tunawaenzi Nyerere na Karume kwa kudumisha MUUNGANO kwa kuwa siku zote walitaka identity ya ZNZ kama Taifa isipotee
 
Huu muungano upo kuwazubaisha hao jamaa wakiachwa "huru" wanaweza leta shida mbele ya safari.

Ila ndio unakera kweli, sasa tunawabembeleza kama watoto, pesa za sherehe ya muungano tugawane sawa, hizi pesa zilizotokana na walipa kodi wa bara, kwani huko Zanzibar hawana pesa kwa ajili ya hizo sherehe?
 
Leo tunasherekea miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).

Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.

Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.

Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.

Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.

Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.

Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Huijui Tanganyika wala huijui Zanzibar nje ya Muungano na bado huutaki Muungano km sio ubinafsi na unafiki ni nini?

We unajua hali ilikuaje enzi hizo mpaka wazee wakaamua kuungana?
 
Sio Hilo tuu hata sababu za Dodoma kuwa makao makuu ziliishia hapo ndo mana maraisi wengine waliona ni wastage of money kurundika majengo mengine Dodoma wakat unayo DSM , Ila mkrupukaji akawaona wenzake kama mazwazwa , akaamkia kwenye gia bila kuwaza Kwa kina na tafakur....

Shida yetu tunafikiria kidogo sana. Dar Es Salaam imeshajaa. Foleni haziishi. Sasa mnataka turundike kila kitu Dar ili iweje? Baada ya miaka 50 toka sasa Dar itakuwaje?
 
Leo tunasherekea miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).

Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.

Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.

Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.

Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.

Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.

Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Mkuu kwa mfano, muungano uvunjike leo, tugawane rasilimali! Wazenji wanachukua rais wa jamuhuri ya muungano, Sisi tutabaki na Nani, Mpango?!
 
Kuuvunja muungano sasa ni hasara kubwa kuliko kuutegemeza ili uwe imara zaidi. Zanzibar inaweza kufikiri ni tajiri na haihiitaji Tanganyika. Ni kujidanganya. Kuna watu wenye mambo yao mengi tofauti tofauti na haya maendeleo mnayosema Tanganyika inawachelewesha.
Hata hawa wapiga kelele wengi kwamba muungano haufai, wananeema nao sana. Zanzibar is over populated. Tanganyika ni kubwa na inawapa nafasi sawa za kuendeleza maisha.
Vunjeni muungano ndio mtaelewa umuhimu wa Tanganyika. Ipo siku utumwa ukirudi tena mtaanza kusema majuto mjukuu
 
Back
Top Bottom