Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Mwenye kufahamu historia ya G55 watupe mtazamo wa watu hawa kuhusu muungano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya muungano.Jibu la faida ya muungano, ni sawa na faida ya Tanga, Arusha, Lindi, Kigoma etc, hizi ni sehemu ya Tanzania...
Ndiyo maana nasema ifike mahali tuwaachie wenyewe wajipangie mambo yao.Huu muungano upo kuwazubaisha hao jamaa wakiachwa "huru" wanaweza leta shida mbele ya safari.
Ila ndio unakera kweli, sasa tunawabembeleza kama watoto, pesa za sherehe ya muungano tugawane sawa, hizi pesa zilizotokana na walipa kodi wa bara, kwani huko Zanzibar hawana pesa kwa ajili ya hizo sherehe?
Umenena na una pwenti mwanangu.Leo tunasherekea miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).
Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.
Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.
Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.
Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.
Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.
Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Hao walikuwa ni walevi tu wa madalaka na hangover ya ukoloni.Mwenye kufahamu historia ya G55 watupe mtazamo wa watu hawa kuhusu muungano.
Mpaka tu-adopt Serikali 3 kama zilivyo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba. Kwa mfumo wa Serikali 2 ni Dr Hussein Mwinyi tu wa ZNZ ndiyo anauhakika na nafasi yake.Mkuu kwa mfano, muungano uvunjike leo, tugawane rasilimali! Wazenji wanachukua rais wa jamuhuri ya muungano, Sisi tutabaki na Nani, Mpango?!
Hawataweza kuanzisha Bandar huru kama Singapore au Dubai. Watamuuzia Nani mizigo Yao wataipeleka wapi mbona kuna nchi kama Madagascar, Seychelles au Comoros na Mauritius au Cape Verde hazijawa kama Singapore au Dubai.Leo tunasherekea miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).
Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.
Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.
Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.
Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.
Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.
Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Katika kikao cha Bunge la Bajeti cha mwaka 1993, aliyekuwa Mbunge wa Chunya, Mheshimiwa Njelu Kasaka aliwasilisha hoja binafsi bungeni ya kudai Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano. Wabunge 55 waliokuja kufahamika kama G55, wakiongozwa na mtoa hoja, Njelu Kasaka, waliiunga mkono hoja hiyo na pia ikapata baraka za Waziri Mkuu wa wakati huo, John Samwel Malecela 'Cigwiyemisi' na kupitishwa na Spika wa Bunge , marehemu Chifu Adam Sapi Mkwawa ili ijadiliwe. Baadaye walikuja kuongezeka na kufikia 65 (G65?)Mwenye kufahamu historia ya G55 watupe mtazamo wa watu hawa kuhusu muungano.
Muungano ungekuwa muhimu kiasi hicho basi ungekuta leo hii dunia ni moja na hakuna mipaka ya ki nchi. lakini lazima ujue kila mipaka ina maana na umuhimu wake, hao waliotuwekea hii mipaka ya ki nchi walifikiri na kutizama mbali sana. Na ndio maana kila ukivuka mpaka wa taifa moja kwenda jingine hukutana na watu wa tofauti kabisa na wale wa taifa ulilotoka.Leo tunasherekea miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).
Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.
Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.
Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.
Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.
Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.
Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Linalotakiwa ni kuwauliza watanzania ni aina gani ya muungano wanapenda au wanapendelea. Jibu la wengi ni kuwa na serikali tatu ingawa mwalimu Nyerere alitahadhalisha gharama ya kuendesha serikali tatu hatuwezi na mzigo mkubwa utaiangukia Tanganyika, kuwa na serikali moja kamwe visiwani hawatokubali. Kama itatokea tusielewane ni heri tuachane salama kila upande uwe na serikali yake ili tujenge nchi zetu. Tanganyika waijenge tanganyika yao na wazanzibari waijenge zanzibar yao. Tutashirikiana kiuchumi, kijamii na kisiasa. Iwapo hili likitokea, basi utanzania umeisha na hakutokuwa na taifa la Tanzania. Sasa basi, kama hutakiwi kuwa mtanganyika au mzanzibari basi jiandae kuwa raia wa nchi nyingine tofauti na hizo mbili tajwa hapo juu. Sijui utasafiria passport gani, utakuwa na kitambulisho gani, nadhani unayasema haya kwa kuwa hayajatokea, ikitokea huna pa kwenda ndugu yangu. Tusingependa kuona hayo yote yakitokea kwa kuwa na mimi mwenyewe naupenda muungano wetu. Serikali 2 ni mzigo kwa raia wote, tujadili la serikali 3Huu muungano upo kuwazubaisha hao jamaa wakiachwa "huru" wanaweza leta shida mbele ya safari.
Ila ndio unakera kweli, sasa tunawabembeleza kama watoto, pesa za sherehe ya muungano tugawane sawa, hizi pesa zilizotokana na walipa kodi wa bara, kwani huko Zanzibar hawana pesa kwa ajili ya hizo sherehe?
Zanzibar ni kupe kwa TanganyikaLeo tunasherekea miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).
Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.
Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.
Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.
Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.
Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.
Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Philip Mpango & Majaliwa Kasim MajaliwaMkuu kwa mfano, muungano uvunjike leo, tugawane rasilimali! Wazenji wanachukua rais wa jamuhuri ya muungano, Sisi tutabaki na Nani, Mpango?!
Nini wanafanya TRA ndani ya Zanzibar??Huu muungano upo kuwazubaisha hao jamaa wakiachwa "huru" wanaweza leta shida mbele ya safari.
Ila ndio unakera kweli, sasa tunawabembeleza kama watoto, pesa za sherehe ya muungano tugawane sawa, hizi pesa zilizotokana na walipa kodi wa bara, kwani huko Zanzibar hawana pesa kwa ajili ya hizo sherehe?
Acha ujinga wewe, hujui kuwa muungano ukivunjika sasa hivi Wazanzibari wanamchukua Rais wetu?
Huu muungano uendelee kudumu tu.
Tufanye referendumZanzibar ni kupe kwa Tanganyika
Wasepe tuu
Wakawe Singapore kama wanavyoota
Tufanye referendum