Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ipegwe kura kuhusu huu muungano hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha ubinafsi na hadithi za kale.Katika kipindi hiki ambacho tunaongoza huku Zanzibar na kule Bara ni wakati wa kuhakikisha kuwa tunajitahidi kuirudisha nchi yetu mikononi mwetu.
Tumekuwa chini ya Utawala wa Tanganyika kwa miaka mingi sana tukilazimishwa kuunganishwa kwa lazima. Binafsi sijawahi ona faida ya huu Muungano Uchwara zaidi ya Tanganyika kutunyonya na kufaidika nasi...
[emoji817][emoji3581]
Wana chaguliwa Raisi kila mwaka arafu unasema wana jeuri, jeuri gani hiyo mtu anakutawala arafu anakuchangulia raisi kila awamu.Hawa watu wa Zanzibar wana msimamo mkali sana si wadogo si wa kubwa utakaekutana nae mkizungumzia Muungano atakushinda tu.na sasa wanasema wanamchukua mwananchi wao ambae ni raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) ,tuone mtafanya nini,wazenji wananjaa lakini bado wana jeuri.
Na siku hizi wamekaa kimya kabisa kama hawapo. wanaweza kuuvunja Muungano kimya kimya,maana wanayaweza.
Kumbuka wasio na nchi ndo wanaongoza nchi.Tuanzie hapa;
ZANZIBAR NI NCHI SIYO NCHI?
Unapojibu rejea Waziri mkuu mstaafu Pinda.
Tunataka Muungano kama wa (UAE ) Other wise bora ujunjike .UAE ni nchi 7 na kila mmoja ana maendeleo yake bila ya kuingiliana akitaka kufanya maendeleo ya nchi yake hamshauri mwenzake .Tanganyika mungeungana na kenya au uganda ndio size yenu.Tuacheni tupumue amini watanganyika kila lenye mwanzo lina mwisho.Hawa watu wa Zanzibar wana msimamo mkali sana si wadogo si wa kubwa utakaekutana nae mkizungumzia Muungano atakushinda tu.na sasa wanasema wanamchukua mwananchi wao ambae ni raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) ,tuone mtafanya nini,wazenji wananjaa lakini bado wana jeuri.
Na siku hizi wamekaa kimya kabisa kama hawapo. wanaweza kuuvunja Muungano kimya kimya,maana wanayaweza.
Pinda (2008) alisema Zanzibar sio nchi na ikaingia kwenye hansardTuanzie hapa;
ZANZIBAR NI NCHI SIYO NCHI?
Unapojibu rejea Waziri mkuu mstaafu Pinda.