mr.dominick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 244
- 28
Tusaidiane wadau
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kutukanana humu kwenye JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidiane wadau
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
............ nini kifanyike kuwe na usawa?
Mkuu, mambo ya katiba na muungano sio ya CCM wala ChademaWewe CCM kweli? au njaa ndo zilikuponza?
Mkuu mbona Kenya inapakana na Somalia?aisee katika makosa yote, watanganyika tusifanye kosa la kuwaachia hawa wazanzibar, kitakuwa kituo kikuu cha magaidi!.
ulishawahi kujiuliza hivi ktk mwili na ukubwa wake huo, nyusi zinakazi gani???
Mkuu, mambo ya katiba na muungano sio ya CCM wala Chadema
Mimi naongelea utanganyika wangu, kama vile tulivyozoea kuwasikia wazanzibari wakiongelea uzanzibari wao bila kuogopa wala kuficha.