Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Kutokana na malalamiko na kero kuwa nyingi,kila upande ukiona upande mwingine mzigo, alafu bado kuna wana siasa wanataka muungano uendelee huu wa serikali mbili , najiuliza huu muungano wetu ni wa kujivunia au ni janga tumeachiwa?
 
sioni cha kujivunia kwenye muungano huu ziadi ya kuumizana vichwa na kupotezeana muda
 
Tokea 1964 wazbar walikwisha fahamu kuwa huu c muungano,tunawashangaeni watanganyika eti ndio kwanza leo muelewe kuwa huu c muungano,zanzbr kwanza.
 
Muungano ni silaha ya kuendeleza ugalatia znz. Wanajenga makanisa tu wala hayana waumini.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitaki Muungano, na wala sioni faida yoyote ya muungano zaidi ya kunyonyana tu. Wanaofaidika ni wanasiasa peke yao. Kwangu muungano uwepo au usiwepo ni sawa tu. Mimi naitaka Tanganyika yetu!
 
Umesema kweli akhui,znz ni nchi ndogo ukiwaachia hawa wagala wamiliki ardhi znz itanuka pombe.
 
Tuwachape zanzibar liwe koloni letu

wewe subiri wnapiga domo sana niliwahi kuwauliza hiyo jamhuri ya watu wa zanzibar ilikuwa kama nchi kwa muda wa miaka mingapi hakuna anayeza kunijibu nawataka hao domodomo kutoka zenji.
 
Muungano huu ni haramu na tunaomba upotee sasa atleast wale wahuni wanaopelekwa Zanzibar kutembea uchi itapungua.

mnajifanya hamtaki mbona mtaukumbuka subirini siku si nyingi kiu yenu ya kuona muungano unavunjika itakatwa muda si mrefu.

sisi tuna msamiati kwa jamii ya wafugaji "ng'ombe hajui thamani ya mkia wake mpaka utakapokatika" ndio ninyi.
 

nyerere alikuwa na akili sana umuhimu wa muungano ni sawa na kusema umoja wa afrika unanisaidiaje au tanganyika inanisaidia nini ni hapo tu ukijua jibu la swali hilo basi umuhimu umeupata
 
wavuvi weusi"
inaonyesha unahusidia sana sura nyeupe kuliko point na wala hujui kwamba mtu mweusi ndiye mwenye historia ya kuwa mstaarabu wa kwanza hapa duniani na mpenda watu sio watu weupe wenye mioyo ya kishetani kama wewe.
 

mbona mipasho imekuwa mingi, umesahau kama nasubiria jibu la hoja yang?
 
Nadhani kama ni kuvunjika kwa muungano ulishavunjika tangu zamani sana. Muulize Aboud Jumbe kama Muungano una maslahi gani. Pili mabadiliko ya kumi ya katiba ya Zanzibar yalipigia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Muungano.
Sasa cha msingi tuache kuishi kwa matamko ya waliotangulia tutengeneze Tanzania tunayoitaka. Waafrika wengi hupata shida katika maisha kwa kuwa wanajishika sana na nani alisema nini. na mambo yakiwaendea kinyume kidogo wanaanza kuwa ni laana za mababu. Hayo mambo tuachane nayo tuangelie mbele yenye matumaini kuliko kujifunga katika vifungo vya zamani ambayo havina tija kwetu.
 
Ukweli ni kuwa tunahitaji mashirikiano na sio muungano. Iko siku watoto wetu watamwaga damu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…