Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Suluhisho kubwa ni kwa CCM kuachana na fikra kuwa muungano ni wao na pekee yao wana haki ya kufanya uwe wa aina gani.
Kinyume chake ni haya tunayo yaona. Upinzani umekua juu sana juu ya muungano.
Wacheni kulifanya suala hili la kichama
 
Mkuu naona unajifariji na kujiliwaza kwa msongo wa mawazo, muungano ukivunjika wazanzibar wataishi kama wawekezaji kutoka nje kama walivyo Wakenya, Wahindi na Wazungu.

Mkuu suala la kumiliki ardhi linaitaji pesa siyo maneno na stori za vijiweni, yale majengo ambayo yapo Kariakoo unategemea utayapata kwa kuandika JF, sisi watu wa ukanda wote wa Pwani ni ndugu toka karne na karne na tuna muungano wetu, hatuwezi kupangiwa na watu kutoka Rombo au Makete.

Kwa hiyo unategemea muungano uvunjike ukaibe mali za wazanzibar.

Mbavu zangu mkuu
 
HABARINI ZA ASUBUHI.

HIYO NENO ccm nimemaanisha AS WELL MUUNGANO.

BADO NAENDELEA KUHOJI KWA HAWA MAGAMBA ccm, maswali ni rahisi sana;

1. Je! TANZANIA ni matokeo ya muungano wa nchi NGAPI?
2. Nchi hizo ni zipi? Zitaje.
3. Lengo la kuungana ili tupate nchi ngapi?
3. Baada ya muungano kwanini TANGANYIKA haipo?
4. Kama TANGANYIKA iliungana na Zanzibar, kwanini zanzibar bado ipo, na tena inatambulika kama INCHI wakati zanzibar na TANGANYIKA ni matokeo ya TANZANIA?
5. Kwanini tusiifute zanzibar ili tuwa na TANZANIA PEKEE?
6. Na au zanzibar itaendelea kuwepo, kwanini tusiirudishe TANGANYIKA pia?

NB;kama TANZANIA ni matokeo ya nchi mbili, ni bora zanzibar isitambulike kabisa ili TANZANIA iwe na serikali moja tu na zanzibar uwe kama MKOA. Kama ni hapana, basi TANGANYIKA YETU IRUDI nayo itambulike kama nchi pia na tuwe na serikali yetu. KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI TUWE NA SERIKALI 1 TU YA TANZANIA hapo maana ya muungano utaeleweka na itakuwa imekaa sawa.
 
Ccm hawawez jibu hayo maswal ni magumu sana kwao .
 
Haya ni madhara ya kutumia kichwa kufugia tu nywele badala ya kufikiria. Tanzania ni matokeo ya tanganyika na znz, sio kwamba tanganyika na znz ni matokeo ya tnzania. Vijana acheni gongo
 
HABARINI ZA ASUBUHI.

HIYO NENO ccm nimemaanisha AS WELL MUUNGANO.

BADO NAENDELEA KUHOJI KWA HAWA MAGAMBA ccm, maswali ni rahisi sana;

1. Je! TANZANIA ni matokeo ya muungano wa nchi NGAPI?
2. Nchi hizo ni zipi? Zitaje.
3. Lengo la kuungana ili tupate nchi ngapi?
3. Baada ya muungano kwanini TANGANYIKA haipo?
4. Kama TANGANYIKA iliungana na Zanzibar, kwanini zanzibar bado ipo, na tena inatambulika kama INCHI wakati zanzibar na TANGANYIKA ni matokeo ya TANZANIA?
5. Kwanini tusiifute zanzibar ili tuwa na TANZANIA PEKEE?
6. Na au zanzibar itaendelea kuwepo, kwanini tusiirudishe TANGANYIKA pia?

NB;kama TANZANIA ni matokeo ya nchi mbili, ni bora zanzibar isitambulike kabisa ili TANZANIA iwe na serikali moja tu na zanzibar uwe kama MKOA. Kama ni hapana, basi TANGANYIKA YETU IRUDI nayo itambulike kama nchi pia na tuwe na serikali yetu. KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI TUWE NA SERIKALI 1 TU YA TANZANIA hapo maana ya muungano utaeleweka na itakuwa imekaa sawa.
Maswali kama haya huulizwa darasa la pili aubla tatu shule ya msingi. Kwa sasa hata chekechea unaweza kuyakuta
 
maswali kama haya huulizwa darasa la pili aubla tatu shule ya msingi. Kwa sasa hata chekechea unaweza kuyakuta

tafakari kwanza. Hayo ni majibu tayari. Kwa mtu kanjanja kama wewe unadhani ni maswali eti kwasababu ya alama za kuuliza. Pole sana.
 
Maswali hayo magumu kwa ccm hata tuwapeleke darasani kwa mpango wao wa big result now
 
kwa hali yoyote ile tunahitaji Tanganyika yetu.au serikali moja.
 
unajua kelele za Tanganyika imekuwa issue kubwa kwani kama wazanzibar wanahitaji taifa lao je sie wabara kwa nini tusiidemand tanganyika yetu.
 
CHUKI, FITINA , UBAGUZI ndio iliyokujaa Moyoni mwako...!! Wazanzibar ni watu waungwana na kamwe hatujapata sikia wa kutokea hicho ukifikiriacho we we, Wazanzibar tumewakaribisha Watanganyika tokea enzi zilee walipokuwa wanakimbia kodi ya kichwa na wakaishi Zanzibar bila kurudi nyumbani kwa jinsi walivyopendezwa na maisha ya kidugu ya Wazanzibar....!!! na daima hiyo itabakia kuwa ndio asili ya Wazanzibar!!![/QUOTE Kwani Wazanzibar asilia ni wakina nani?nijuavyo Zanzibar ni mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali waliohamua kuishsi huko toka karne nyingi zilizopita,sasa wewe ukisema uliwakaribisha watu wa bara ,kwani wewe ni wa wapi,ulitokea shelisheli au Ngazija au Mombasa?
 
Mbavu zangu mkuu

Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Naona hapa jamvini yule Pasco aka Nikupateje...yeye ana shughuli ya kuweka LIKE tu,wenye comments/arguments zenye mawazo ya kidikteta kama yake!

Ahsanta.
 
Nguruvi3
That is outrageous accusation hakuna wa Omani Zanzibar walioko ni Wazanzibari. Au Wambunga na Wandamba wa Kilombero ni Wa South Africa, Wakurya na Wazanaki wa Musoma ni Warundi, au Wamakonde na Wamwera wa Mtwara ni Wa Msumbiji? UNFORTUNATELLY HIZI NI CHUKI ZIKITUMIWA NA MSOMI MAARUFU ('Mwalimu') KUWAGAWA WAZANZIBARI ili awatawale na wakamjulia mbinu zake na nyinyi vujukuu vyake mliokuja juzi kutoka Simanjiro mnatuletea the same stories!

Kwa mujibu wa Katiba kila m Zanzibari ana haki ya kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi kama kisiasa, kiuchumi na kijamii bila kujali rangi au kabila yake.

Ikiwa Mwakanjuki ana haki ya kutawala basi na Salim Bimani ana haki ya kutawala vile vile. Umenisikia?!!!
kahtaan, Ritz, mfumo, Polite, gombesugu

Hawa mie huwaambia siku zoote,yakua hizo siasa zenu za chokochoko na chuki si njema na hazitasaidia kitu,khasa kwa wakti huu!

Yaani ni vyema kwao tu yakua wanaishi kwenye society ambazo mpaka kesho,si ajabu kuwakuta hata baadhi ya Wanasiasa wa ngazi za juu ati pia wakihubiri racism...na hakuna mwenye ku-question au hata kujisikia vibaya...maana hiyo system takriban yoote ina-tolerate unyama/ubaguzi kama huo! Daah!

Ni bakhti mbaya yakua ndani ya majumba na mila za Watanganyika wengi mno,na pia humu-JF...yaani wanakhis yakua racism na discrimination ni social acceptable! Hata kwenye mazungumzo yao ya kawaida,basi pia utawasikia wakiwezka zile elements za kuchambua ethnicity bila hata ya logic,na kuangua vicheko vya kebehi kwa pumba za kibaguzi/kinyama!

Sidhani kama wanafahamu kiundani yakua hili somo la Race and/or Ethnicity...yaani ni complex/pana mno,na lina madhila mangi mno!

Historically,Wazanzibary wameishi/wanaishi kwa amani kwenye very diverse society... tena kwa centuries nyingi mno...sasa sijui hawa vibwengo kutaka kuleta farka na zogo humu mitandaoni inakhusu nini,Ya Illahi!? Daah!

Shukran Averoes,kwa huu mpini ulomwekea huyo Nguruvi3...maana yeye ndo posts zake takriban zoote zenye kuhusu masuala ya zanzibar,yaani zimejaa racist/discriminatory elements...mpaka zatia kichefuchefu! Daah!

Hata wewe ni walewale huna tofauti, tunakusoma, wewe ni Mbaguzi, unatukana watu hovyo hovyo, huheshimu utu wa mtu, unamsingizia nguruvi bure, Ninyi mmelianzisha lazima lifikie mwisho tu. Tanganyika yetu inarudi. Tutaheshimiana tu, dharau zote zitaisha
 
Back
Top Bottom