M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Oct 22, 2022 #1 Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,000 Reaction score 7,336 Oct 22, 2022 #2 Mambo ya ushamba yaache huko huko kanda ya ziwa.
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Oct 22, 2022 Thread starter #3 Execute said: Mambo ya ushamba yaache huko huko kanda ya ziwa. Click to expand... Wewe acha ukabila
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Oct 22, 2022 #4 Wehuuu
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Oct 22, 2022 #5 Muuza Kangala said: Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani. Click to expand... Umebeba kangara lakini,au umekuja ukirusharusha mikono mitupuš„±
Muuza Kangala said: Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani. Click to expand... Umebeba kangara lakini,au umekuja ukirusharusha mikono mitupuš„±
Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,690 Reaction score 3,399 Oct 22, 2022 #6 Hii imekaa kikabila sana.
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,083 Reaction score 5,179 Oct 23, 2022 #7 Dar es salaam njoo na Ela utalindwa na utapewa chawa wewe unakuja na Bastola yako ya nini??