Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

Kazi yangu ya kusukuma baiskeli ikiwa na madafu ni mazoezi tosha.
Kwa nini uliigiza kuuza madafu ukiwa mchafu mchafu hivyo? Kwa ufupi mwamba ulikuwa unanuka jasho ndiyo maana siku ile mimi nilikupita tu wala sikutaka kununua dafu lako!
 
Mi ni mwanaume lazima ninuke jasho ila Yule sio mimi.
 
Kwani ukiwa wewe kuna shida gani ?
Kwani kuuza madafu baada ya kazi zako ni kosa ?
 
Back
Top Bottom