Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Yaani huyu jamaa kameza kete tumboni ndiyo anatafutwa na serikali ya Marekani.
Teh teh teh
Unaelekea kumtetea endelea maana majina ya wauza unga akiwemo yeye baba ako ameyakalia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu jamaa kameza kete tumboni ndiyo anatafutwa na serikali ya Marekani.
Teh teh teh
Marekani wamemtafuta kimya kimya,
Tanzania walimficha licha ya jina kutua Ikulu.
Watanzania was hovyo sana hapa dunuani,sasa kumbe MNA watu mnawafahamu mpaka ndani wanajihusisha na kuharibu ndugu zenu lakini hamtki kuwasema mpaka wakamatwe,wewe uliyeleta habari hii unaonekana unamfahamu huyu mshenzi lakini haukuwahi hats kumsema hapa jamvini sijuhi kwa faida ya nani,mbona mnapenda kuficha mambo ambayo hata kesho mwanao ataingia mkenge awe zezeta?
Wapi nimemtetea nimeuliza kuwa mmeza vikete hawezi kutafutwa na Marekani, Marekani wanawatafuta wale vinara wanaosafirisha meli za madawa.Unaelekea kumtetea endelea maana majina ya wauza unga akiwemo yeye baba ako ameyakalia!
Wapi nimemtetea nimeuliza kuwa mmeza vikete hawezi kutafutwa na Marekani, Marekani wanawatafuta wale vinara wanaosafirisha meli za madawa.
Halafu muulize mama yako jana nilikuwa nae usiku nimempa orodha.
Nimekujibu kiungwana sana kama utataka nikujibu majibu ya kukera karibu sana.
Nitafurahi kama nitasilia kafungwa maisha hukohuko
Hebu toeni ujinga wenu hapa, Guantanamo bay ni gereza maalum kwa ajili ya Al qaeda na Wamarekani wanataka kulifunga.
mshenzi sana kawafungisha sana vijanaaa majela nje, kaamua kuvaaa njumu na jezi acheze yeye ndooo kanasanilimfahamu mara ya kwanza wakati wa usajiri wa Juma Kaseja kutoka Simba kwenda Yanga ule wa mara ya kwanza yy ndie alisuka deal na kaka yake Madega wakachukue pesa kwa Manji
Watanzania was hovyo sana hapa dunuani,sasa kumbe MNA watu mnawafahamu mpaka ndani wanajihusisha na kuharibu ndugu zenu lakini hamtki kuwasema mpaka wakamatwe,wewe uliyeleta habari hii unaonekana unamfahamu huyu mshenzi lakini haukuwahi hats kumsema hapa jamvini sijuhi kwa faida ya nani,mbona mnapenda kuficha mambo ambayo hata kesho mwanao ataingia mkenge awe zezeta?
heheheh analeta lawama za bure....majinaa hayo tushasemaaa sanaaaa akitaka tunaweza kumtajiaaaa tena ila beka renga na chonji na shkuba tutayaweka pembeni kwa mdaMajina ya wauza sembe yalikwisha wekwa humu jukwaani na Mzee Mwanakijiji, jina la beka ranger limo, jaribu kuwa muungwana kidogo, acha lawama za kigagagigikoko.
Mkuu bornagainGuantanamo Bay kwa sasa ni sehemu ya Marekani iliyotwaliwa kutoka Cuba kwa mkataba mwaka 1903.masopakyindi mkuu yaani nimekuwa nikiwaza na kuwazua kwa nini Marekani na Cuba ni maji na moto ila Cuba wakatoa eneo la Guantanamo liwe eneo linalotumiwa na Marekani kwa ajili ya wafungwa wanaohusika na ugaidi.Kama kweli Cuba na Marekani hawaelewani kwa nini ilikuwa rahisi Cuba kuwapa Wamerekani hilo eneo la Guantanamo? Please nisadie nielewe na mimi