Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Watanzania was hovyo sana hapa dunuani,sasa kumbe MNA watu mnawafahamu mpaka ndani wanajihusisha na kuharibu ndugu zenu lakini hamtki kuwasema mpaka wakamatwe,wewe uliyeleta habari hii unaonekana unamfahamu huyu mshenzi lakini haukuwahi hats kumsema hapa jamvini sijuhi kwa faida ya nani,mbona mnapenda kuficha mambo ambayo hata kesho mwanao ataingia mkenge awe zezeta?
 
Marekani wamemtafuta kimya kimya,
Tanzania walimficha licha ya jina kutua Ikulu.

Hebu toeni ujinga wenu hapa, Guantanamo bay ni gereza maalum kwa ajili ya Al qaeda na Wamarekani wanataka kulifunga.
 
Watanzania was hovyo sana hapa dunuani,sasa kumbe MNA watu mnawafahamu mpaka ndani wanajihusisha na kuharibu ndugu zenu lakini hamtki kuwasema mpaka wakamatwe,wewe uliyeleta habari hii unaonekana unamfahamu huyu mshenzi lakini haukuwahi hats kumsema hapa jamvini sijuhi kwa faida ya nani,mbona mnapenda kuficha mambo ambayo hata kesho mwanao ataingia mkenge awe zezeta?

Wacha kurukaruka kama bata bukini, orodha ya majina ya drag lords wote tumemkabidhi Rais Kikwete, muulize Kikwete tatizo nini?
 
Unaelekea kumtetea endelea maana majina ya wauza unga akiwemo yeye baba ako ameyakalia!
Wapi nimemtetea nimeuliza kuwa mmeza vikete hawezi kutafutwa na Marekani, Marekani wanawatafuta wale vinara wanaosafirisha meli za madawa.

Halafu muulize mama yako jana nilikuwa nae usiku nimempa orodha.

Nimekujibu kiungwana sana kama utataka nikujibu majibu ya kukera karibu sana.
 
kama unamfahamu babu mtama mchungu basi Beker utamfahamu huyu jamaa ni Mafia hao wakina Skuba na wenzao huyu ndo boss wao jamaa safari zake siyo South africa yy ni Spain, Colombia, Vietnam jamaa ukiuatilia story zake utakimbia, mtandao wa wauza unga airport, bandari yy kaukamata na ukimuona ni wa kawaida sana
 
nilimfahamu mara ya kwanza wakati wa usajiri wa Juma Kaseja kutoka Simba kwenda Yanga ule wa mara ya kwanza yy ndie alisuka deal na kaka yake Madega wakachukue pesa kwa Manji
 
mshenzi sana kawafungisha sana vijanaaa majela nje, kaamua kuvaaa njumu na jezi acheze yeye ndooo kanasa
 
Watanzania was hovyo sana hapa dunuani,sasa kumbe MNA watu mnawafahamu mpaka ndani wanajihusisha na kuharibu ndugu zenu lakini hamtki kuwasema mpaka wakamatwe,wewe uliyeleta habari hii unaonekana unamfahamu huyu mshenzi lakini haukuwahi hats kumsema hapa jamvini sijuhi kwa faida ya nani,mbona mnapenda kuficha mambo ambayo hata kesho mwanao ataingia mkenge awe zezeta?

Majina ya wauza sembe yalikwisha wekwa humu jukwaani na Mzee Mwanakijiji, jina la beka ranger limo, jaribu kuwa muungwana kidogo, acha lawama za kigagagigikoko.
 
Last edited by a moderator:

heheheh analeta lawama za bure....majinaa hayo tushasemaaa sanaaaa akitaka tunaweza kumtajiaaaa tena ila beka renga na chonji na shkuba tutayaweka pembeni kwa mda
 
Last edited by a moderator:
Mungu waokoe watoto vidi ya vigogo wauza unga.jamani ukiwaona wanavyotoa maudenda mdomoni pamoja navindonda miguuni unakubali wachina wako sahihi kunyonga
 
masopakyindi mkuu yaani nimekuwa nikiwaza na kuwazua kwa nini Marekani na Cuba ni maji na moto ila Cuba wakatoa eneo la Guantanamo liwe eneo linalotumiwa na Marekani kwa ajili ya wafungwa wanaohusika na ugaidi.Kama kweli Cuba na Marekani hawaelewani kwa nini ilikuwa rahisi Cuba kuwapa Wamerekani hilo eneo la Guantanamo? Please nisadie nielewe na mimi
Mkuu bornagainGuantanamo Bay kwa sasa ni sehemu ya Marekani iliyotwaliwa kutoka Cuba kwa mkataba mwaka 1903.
Miaka hiyo Marekani ilikuwa na uhusiano mzuri na Cuba(kabla ya mapinduzi ya kina Castro), hivyo ikawa rahisi kuitisha Cuba kuingia mkataba huo.

Guantanamo kigeografia ni sehemu ya kisiwa cha Cuba, inawaje sehemu hiyo ilimegwa na kuwa sasa sehemu ya Marekani.
Serikali ya kimapinduzi ya Cuba imekuwa ikidai kurudishiwa sehemu hiyo, na hili limtamkwa majuzi hata na kiongozi wa sasa wa Cuba , Raul Castro, katika mazungumzo ya kurudisha uhusiano mzuri kati ya Cuba na Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Wapi nimemtetea nimeuliza kuwa mmeza vikete hawezi kutafutwa na Marekani, Marekani wanawatafuta wale vinara wanaosafirisha meli za madawa.

Halafu muulize mama yako jana nilikuwa nae usiku nimempa orodha.

Nimekujibu kiungwana sana kama utataka nikujibu majibu ya kukera karibu sana.

Ritz, please brother. That is crossing the redline. Hata kama amekosea, lakini matusi ya kuhusisha mama yake tena????? Nooooo please guys we shouldn't go that far!
 
Wapi nimemtetea nimeuliza kuwa mmeza vikete hawezi kutafutwa na Marekani, Marekani wanawatafuta wale vinara wanaosafirisha meli za madawa.

Halafu muulize mama yako jana nilikuwa nae usiku nimempa orodha.

Nimekujibu kiungwana sana kama utataka nikujibu majibu ya kukera karibu sana.

Punguza jazba dada yangu.
 
Back
Top Bottom