Muwazie mpenzi wako kwa mazuri, hata kwa nusu saa tu

Muwazie mpenzi wako kwa mazuri, hata kwa nusu saa tu

Nyashinski- Malaika this song ilikuwa ni dedication song kwa lost of my wife...R.I.P H nakumic Sana endelea kupumzika kwa amani,now mungu🙏 kanibariki nimepata wa kufanana nae😣😔
 
Ukimuwazia mazuri unakutana sms ya ukali umemuuliza vizur tu umefika kazini anakujibu ulikuwa unatakaje embu niache

Utashindwa kumuwazia mabay

Ilifika level hiyo kuna tatizo, either unalijua au ambalo hulijui. Sasa hilo ambalo hulijui ndio unapoingia kati na kuuliza, kiburi kikizidi kula kimya mpaka akutafute mwenyewe. Kikizidi zaidi eject
 
Ilifika level hiyo kuna tatizo, either unalijua au ambalo hulijui. Sasa hilo ambalo hulijui ndio unapoingia kati na kuuliza, kiburi kikizidi kula kimya mpaka akutafute mwenyewe. Kikizidi zaidi eject
Mimi ukinijibu vibaya mara tatu sikutafuti
 
Back
Top Bottom