School inaitwa Eden International School na Sio St. Eden wala Eden Seminary
Matokeo yao ya juzi haya hapa form two Muslim wapo wengi zaid ya Christians [emoji116].
Francis Maria iliopo Zanzibar ni shule ya Waroman lkn na Muslims wanasoma, wanaotaka kuvaa hijab wanavaa na kuswali wanaswali.
Zanzibar utakuta mwanamke anavaa baibui na hijab na ni Christian wala huwezi kumjua. Ipo katika ustaarab, na wanaojielewa hupenda wakienda pahali kufuata ustaarab wanaokutua hasa hasa ikiwa hakuna kuvunja sheria na hakuna madhara.
View attachment 2069848View attachment 2069849