Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Mário,pesa position,mamuu,bina na ngai,kimpa kimsangameni,Fabrice ,muya, bureau de coers, attention na sida,candidate de mobutu,Helene,colonel bangala,fc 105 du Gabon,matata ya mwasi, cooperation odongo,1200 letters,lisolo ya Nzambe na Adamo,liberte, republique du Zaire,azda,muongo na mulozi,
Kesho nitaweka kwenye you tube mmoja baada ya mwingine, kuna rhumba moja huwa naitafuta but sijui jina lake, hope nitaibahatisha hapa
 
Kuna dada mmoja anaitwa MPONGO LOVE anajua sana kuimba. Jaribu kutafuta wimbo mmoja unaitwa NDAYA sikiliza kisha hutajutia MB zako.
 
Mário,pesa position,mamuu,bina na ngai,kimpa kimsangameni,Fabrice ,muya, bureau de coers, attention na sida,candidate de mobutu,Helene,colonel bangala,fc 105 du Gabon,matata ya mwasi, cooperation odongo,1200 letters,lisolo ya Nzambe na Adamo,liberte, republique du Zaire,azda,muongo na mulozi,

umetisha mzee baba
 
Muziki ni sauti linganifu zinazotoka katika mpangilio maalum,,, wakongo wameweza hapo.. huku majirani zao wakipiga kelele zaidi wakidhani ndio muziki... Ila sio wote ni baadhi tu..
 
Hawa jamaa wanajua sana kuimba mkuu
 
Back
Top Bottom