Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #141
Tayari jamaa alikwishakuja na kutoa ufafanuzi mzuri na wa kina sana. Hakika jamaa anajualuambo makiadi njoo tumuenzi Baba la baba wa Muziki kama Muziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari jamaa alikwishakuja na kutoa ufafanuzi mzuri na wa kina sana. Hakika jamaa anajualuambo makiadi njoo tumuenzi Baba la baba wa Muziki kama Muziki
Usisahau Madilu "Aminata" huu wimbo haupiti siku bila kuusikiza..KWANZA, kiilingala ni lugha inayovutia katika kuimba.
PILI, mkongo akiongea au kuimba kwa kutumia lugha ya kifaransa utanogewa anavyotamka maneno kwa lafudhi yao
TATU, waimbaji wa Zaire hawakuwa waimbaji tu ila walikuwa wapiga vyombo wazuri sana
NNE, wakongo wana asili ya sauti nzuri na wamewaambukiza pia watu wa kigoma, ukimsikiliza Ali Kiba, Diamond, Mwasiti, Upendo Nkone, Chege wamejaaliwa sauti nzuri
TANO,, Wakongo tangu kabla ya Uhuru wanapenda muziki haswaaa, yaani ni ufahari kwa mkongo kujipamba na kuimba hata asipohangaika na madini yao au Mbao inayovunwa na kuibiwa kila siku
Mkongo ajue kuimba vizuri umsifie halafu akishafika Parii (Paris) basi ameshafika hataki mengine.
Kwa mfano, ukisikiliza beat ya nyimbo zenye ujumbe za
Franco wa ''MAMOU'' na ''MARIO''
Tabuley wa ''MUZINA'' au
Madilu wa ''Ya Jean''
Kwani utataka hata kusikiliza kelele za wabongo?
[emoji445]Usisahau Madilu "Aminata" huu wimbo haupiti siku bila kuusikiza..
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Zaire wanajua sanaWacongo walikua wanamuziki hawa wakwetu ni wasanii:mwanamuziki anajua kupga vyombo pamoja na kuimba,wasanii wenyewe wanajua kuimba ila kwny vyombo hakuna kitu
Kuna siku moja ninaimani tutawafikia mkuuMpaka sasa hivi bado hatujawafikia wakongo kimuziki
Haitotokea kamwe mkuuKuna siku moja ninaimani tutawafikia mkuu
Hapana -yule ni Masoud Masoud wa siku nyingi. Mimi ni shabiki wa OK Jazz na TP OK Jazz kuanzia enzi za Polo (Franco) na Bolingo ya Bougie (Kwamy). Enzi hizo ni RTD idhaa ya Biashara.Mkuu, au wewe ndiye yule anayejiita Manji wa Muziki kule TBC FM (Radio Tanzania)?
Wabembe hawajawai kula watuHistoria ya uwekezaji!
Enzi za Mobutu,nadhani alihitafiliana na ukristo,ambao ulienezwa na wabelgiji.
Aliamuru makanisa yatumike kama "Nyumba za kukuza tamaduni"..so ngoma na vionjo vya asili viliachwa,huku vya nje vikidharaulika,hii ilienda sambamba na hata majina,waliwapa watoto majina yenye maana zao,tofauti na sehem zingine ambapo ukristo ulishamiri mathalani..Tz,Kny na Ug.
So hata ukiona mambo ya ushirikina yameshamiri Huko,na mwambao wa ziwa Tanganyika,sio kitu cha kushangaza sana,kuna kuingiliana karibu sana kwa tamaduni kwasababu ya muingiliano wa jamii hizo..
Kuna jamii kule congo inaitwa "Wabembe"..."inasemekana "...wanakula nyama za watu...thts history in short..inaweza isiwe na sahihi saana kutokana na uwakilishaji!
Wadau hebu naomba mniambie huyu jamaa wa kuitwa Tcha-tcho Mbala Kashogi ni nani kwenye nyimbo kama associe ya Fally, Amita ya Madilu na hata nyimbo nyingi za Koffi hasa kwenye album yake ya V12 anamtaja.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Nami nilihisi atakuwa doni flani hivi... Shukran mkuuhuyu jamaa nadhani ni mfanya biashara ya madini kama Almasi nk, sina uhakika sana lakini
Huyo jamaa anaitwa Richard Tshasho Mbala, ndio jina lake na ni mtu mwenye mapesa na anayesupport sanaa mziki wa Kongo ni tajiri mfanyabiashara wa madini na huwa anataka usikike pote duniani kwahiyo akaanzishaga kama project hivi huko France akisemaWadau hebu naomba mniambie huyu jamaa wa kuitwa Tcha-tcho Mbala Kashogi ni nani kwenye nyimbo kama associe ya Fally, Amita ya Madilu na hata nyimbo nyingi za Koffi hasa kwenye album yake ya V12 anamtaja.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Nami nilihisi atakuwa doni flani hivi... Shukran mkuu
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Umetisha mkuu... Umesomeka vyema kabisaHuyo jamaa anaitwa Richard Tshasho Mbala, ndio jina lake na ni mtu mwenye mapesa na anayesupport sanaa mziki wa Kongo na huwa anataka usikike pote duniani kwahiyo akaanzishaga kama project hivi huko France akisema
''I support my culture'' akawaita wasanii wengi wa Congo kuimba, kifupi anavumisha mziki wa nyumbani
Ni dizain ya kina papaa msoffe au Lemakoo wanavyoimbwa.
Hizo za madilu zote ninazo mkuu... Ngoja nitafute hiyo colabo...mkuu tafuta hizi
Franco & Madilu - la leponse de mario
Madilu - pie mboyo
Madilu- sije saversa
[emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535]watu wengi wanaotajwa na wanamuziki wa Congo ni matajiri wa madini au wanasiasa.
Miaka ya 1970 upo secondary? Shikamoo baba...Hili swali ni gumu kidogo maana nakumbuka miaka ya 70 wakati nipo sec tulikuwa tunazisililiza sana
Pia kwenye radio walikuwa wanaweka sana labda wazaire wa kuja ndio walikuja na miziki yao
Sasaivi kijana akishapata mistari yake miwili mitatu na kachorusi ka kubambia...huyoooooo ananyoosha zake studio kuonana na prodyuza "amnyongee biti" mwisho wa wiki yupo hewan na wimbo mpya.Wacongo walikua wanamuziki hawa wakwetu ni wasanii:mwanamuziki anajua kupga vyombo pamoja na kuimba,wasanii wenyewe wanajua kuimba ila kwny vyombo hakuna kitu