Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #481
Bonge la nyimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la nyimbo
Acha kabisa mkuuu....Bonge la nyimbo
[emoji3][emoji3] aisee una mambo wewe jamaa.Kwa vile umeamua kunipa kazi ngoja tuone.. View attachment 1661863
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
So wwe ni wa upande wa maua au siyo[emoji2][emoji3][emoji3] aisee una mambo wewe jamaa.
Hivi baruti nayo kumbe ni silaha inayoua?mimi nilikuwa nafikiri kazi ya baruti ni kitishia watu mitaani kwa ule mlio wake ikipigwa sikujua kama inatumika kama silahaHuyo wa job fununu eti kapigwa kipapai
Huyu wa kuzima anajiandaa kwenda church ( ndo rafiki yangu kuliko wote hao) eti alidhulumu mtu shamba kigamboni akalambwa albadili[emoji848][emoji848][emoji848][emoji26]
Huyo wa baruti eti aliwazingua watoto wa kihindi (alikwangua gari yao then akaleta ubabe) wakaamua kumlipua
Hizo zote ni fununu jamani si unajua kitaa, ila nimeogopa balaa, nimejikuta leo nimekuwa mtakatifu gabriel, natamani kumpigia kila mtu goti[emoji1751][emoji1751]
Haya turudi sasa kwenye swali la msingi.
Nilifurahishwa na mapenzi yako kwa nyimbo za DRC as jinsia yenu wengi hawazipendiHaya turudi sasa kwenye swali la msingi.
Kwanini?
Woah upo vizuri... Big up sanaUmesahau habari khs yule madam aliedatishwa na Kanda Bongoman mpaka akapigwa marufuku kurudi kule Kenya, sio mchezo.
Hizo nyimbo zao nazipenda mno.
4G LTE
Utoto na Ushamba na unafiki. Wala si kuwa eti ni mapenzi.Lakini huwa nawaza sometimes kwamba how it helps kupost about marehemu kwenye mitandao, sijui mimi labda niko too outdated!
Sure watu wanataka uharibu uzi kwa kuanza leta udaku na mambo yao binafsi.tupewe habari za kongo.Jamaa umeacha kabisa kutuletea zile story na visanga vya wakongo... [emoji4]
Zaire/Kongo wanajitahidi sana katika muzikiSure watu wanataka uharibu uzi kwa kuanza leta udaku na mambo yao binafsi.tupewe habari za kongo.
Franco anajua sana kupiga Gitaa mzee baba...DRC, batoto ba Congo.......Mobutu ama (Kuku mbengu wa Zabanga), ni kweli alichukia sana mambo ya kuiga umangaribi, lakini hapo hapo akawa anatamani sana maisha ya Kifaransa!...baada ya kuwaambia bana ba congo kuacha majina ya kikoloni kama vile Franco ama Rochereau...ambao wakati huo ndio walikua wakali wa muziki, Majina ya kabakia Luambo Luanzo Makiadi na Tabu Ley.
ExcelentHuyu ni mwamba haswa... Ndio maana Franco alikuwa anampenda sana although alikuwa back vocal kwenye band yake ya T.P.O.K but baadae aliimprove... Na baada ya kufa kwa Franco 1989 band ilisitisha kufanya muziki kwa mwaka mzima na waliporudi Madilu ndio alikuwa kiongozi wa band hiyo.
Hiyo Faute ya Visa to cut story short...unakutana na mtu katika nchi ambayo unahitaji visa kabla ya kwenda. Mtu ambaye unakutana naye au mtu anayekabiliana nawe hataweza kukutana nawe tena nyumbani. Mtindo wa maisha unayoishi na mahali unakokwenda sio ya viwango vyake. Watu ambao walimpa visa hawajui kwamba atakuwa akisababisha shida huko alikoenda. Madilu unaposema Faute Ya Visa, analaumu ukweli kwamba mtu huyu asiyejali pia alipewa visa. Madilu anajikuta katika nchi ambayo hawezi kufanya mengi.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mimi za Franco Pekee ninazo Kama 200 hiviHapana napenda tu nyimbo zao... At glance nina tracks za singles na album zipatazo 125! Na mpaka usikikize zote ziishe ni zaidi ya sku mbili bila kupause[emoji2] View attachment 1660598
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kimpa kimsangameni nyimbo tamu mno ya mwaka 1976makambo maana yake “Tabu/matatizo” sasa hapo wanasema kinshasa makambo ngai mwana moto (kinshasa ina matatizo ,mimi mtoto wa mtu)
katika huo wimbo “Ngugi” Franco anawafananisha watu wa kinshasa na mbu wa jinsi wanavyoongea kwa kumsema anasema , hii ni True story maana watu wa kinshasa walimsema mno mara mchawi nk sasa akawa analalamika kwenye nyimbo zake nyingi mfano kuna moja inaitwa kimpa kisangameni anasema “swela obota ngai, ngai makila mabe mama” akimaanisha kwamba (swela umenizaa na damu mbaya)
Bit la huo wimbo Ni balaaSwela ni mamaake?
Huu wimbo wa kusangameni ninao kwenye gari yangu, franco alikuwa anafika balaa