Tetesi: MV CHATO Kuzinduliwa kabla ya mwaka 2020 Oktoba

Takataka hii,peleka jalalani ufipa
 
NIKIWA KAMA MWANANCHI WA HALI YA CHINI ,NIMEBARIKI YOTE YATAKAYOFANYIKA MAANA SINA LA KUFANYA.....
 
Steinar mtoe huyo mbaba kwenye office,akiendelea mpaka 2025 tumekwisha...hana hata mshipa wa aibu
Ondoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.

Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.

By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
 
Steinar mtoe huyo mbaba kwenye office,akiendelea mpaka 2025 tumekwisha...hana hata mshipa wa aibu
Kwani wewe unakatazwa kwenda kukaa Chato? Kama unataka maendeleo nenda Chato. Mbona Dar kuna makabila yote ya Tanzania na mengine. Kuliko kukalia wivu na shutuma hamia Chato ufaidi.
 
Nilikua ninataka kukujibu , ila umenisononesha kuniita Mbwa, Samahani kwa kukwaza haikua lengo langu.

Nakuomba ujiheshimu
Mkuu inakera kwa sababu ichi hii sehemu kibao watu wanateseka kwa kukosa maji safi na salama ya kunywa. Kwanini Londo la miradi isiyo na mashiko chato afu watu mnajitoa ufahamu ku support
 
Kwani wewe unakatazwa kwenda kukaa Chato? Kama unataka maendeleo nenda Chato. Mbona Dar kuna makabila yote ya Tanzania na mengine. Kuliko kukalia wivu na shutuma hamia Chato ufaidi.

sawa nitaenda na wewe promise utaenda huko Rufiji!,hamna mkoa au jiji ambalo halina mchanganyiko wa watu, sijui ulitaka kusema nini
 
Mbwa wewe ! Watanzania gani watakaa chato? Mtu Wa mtwara ataenda kukaa chato Kwa shughuli ipi?
Kwanini kila kitu chato na isiwe kigoma? Au lindi? Chato kuna kipi cha muhimu kuzidi mbeya au mtwara?
Kuzidi Mbeya- kuna Ziwa victoria, kuna mbuga za wanyama mpya. Raisi wa nchi wa sasa anatoka Chato
 
Mbwa mama yako
Mbwa wewe ! Watanzania gani watakaa chato? Mtu Wa mtwara ataenda kukaa chato Kwa shughuli ipi?
Kwanini kila kitu chato na isiwe kigoma? Au lindi? Chato kuna kipi cha muhimu kuzidi mbeya au mtwara?
 
Uhuru Kenyatta anapaita Chatu! Chato napo ni Tanzania jamani,maendeleo yakiwa pale bado ni maendeleo ya Tanzania na sio Congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…