Tuseme ameenOndoa hofu, trust me, 2020 is almost near ! Watanzania wote ni sawa, wana haki sawa, na wanahitaji kunufaika na cake ya taifa kwa usawa.
Haya anayoyafanya asidhani watanzania wote wanamuunga mkono. Asifikiri pale chimwaga kuwa wote watakao piga kura kuwa wanatoka chato au kanda ya ziwa.
By your information, Pale chimwaga siku hiyo patachimbika and it will be a history....from Zero to Hero! Jamaa hatoamini atakachokiona na ndoto yake ya kutawala milele itaishia pale Chimwaga in July, 2020.
AsanteIngia website ya NHC tu wasikiana nao kwa Simi ,email au Soma maelezo yao au nenda ofisi yeyote ya NHC popote Tanzania watakuelekeze waambie unataka kiwanja Chato .NHC Wana ofisi nchi nzima.
Vipi kwenu bado mnasubiri REA ?
Hivi mifano yako hii unaiona 'relevant' kwa mambo yanayoandikwa katika mjadala huu, au unaona wachangiaji wote hamnazo isipokuwa wewe peke yako?Aliyejenga Wembley ni nani?, au UN makao makuu kuwa New York ni nani? Tuache ushamba
Ndo maana umetukanwa"mbwa wewe"..nimerefer tusi lake tu!
Hivi mifano yako hii unaiona 'relevant' kwa mambo yanayoandikwa katika mjadala huu, au unaona wachangiaji wote hamnazo isipokuwa wewe peke yako?f
Katika majibu yapi?Katika majibu yote naona hili limekufikirisha sana
Katika majibu yapi?
Kuna majibu mengi toka kwa wachangiaji mbalimbali. Wewe ni robot?Yaliyojibiwa humu kwenye hii thread
Kuna majibu mengi toka kwa wachangiaji mbalimbali. Wewe ni robot?
Inahusiana vipi na mada iliyopo hapa. Ndio maana nikasema wewe ni robot.Jifunze kuhusu maendeleo endelevu(sustainable development)
Inahusiana vipi na mada iliyopo hapa. Ndio maana nikasema wewe ni robot.
Nimeelewa lipi?Kama umeelewa hilo, unahitaji nini cha zaidi kuhusu mimi
Nimeelewa lipi?
Of course nimeelewa hivyo. Cha ziada ni kuli-program hilo li-robot. Ndio kazi ninayoifanya hapa sasa hivi.Unasinzia ama? Wewe umesema mimi ni robot, kama umeelewa hivyo uhitaji cha ziada
Of course nimeelewa hivyo. Cha ziada ni kuli-program hilo li-robot. Ndio kazi ninayoifanya hapa sasa hivi.
Ndio je,wewe ni Robot,kuna watu am sure wamekufa kwa kukosa dawa,wakati kuna jitu moja linaona likajenge uwanja wa mpira kwao...halafu unakuta mtu kama wewe una support huu upuuzi...lazima tukuulize kama una feelings
sorry bro,
ngoja nifute,