johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tundu na zitto watapinga watasema ni awamu ya sitaTukio liko mubashara TBC
Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka
Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo
Mungu ni Mwema wakati Wote
Hii hapa
Tulia ulete habari kamili una andika kama unakimbizwaTukio liko mubashara TBC
Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka
Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo
Mungu ni Mwema wakati Wote
Project ilianza 2019Sema CCM wametafuta ka-tukio kupunguza kasi ya mikutano ya vyama vya upinzani
Kaburi la watu hilo kwa linchi kama la kwtu! Wala siwezi kulifurahia. Bukoba residents have reservationTukio liko mubashara TBC
Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka
Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo
Mungu ni Mwema wakati Wote
Wachagga na Meli wapi na wapi bwashee?!Kaburi la watu hilo kwa linchi kama la kwtu! Wala siwezi kulifurahia
tatizo lako ni hilo, wachaga wamekufaya nini? Kila mmoja unampakazia ni mchagaWachagga na Meli wapi na wapi bwashee?!
Wewe umesema huwezi kuifurahia Melitatizo lako ni hilo, wachaga wamekufaya nini? Kila mmoja unampakazia ni mchaga
Sasa mkuu unaendaje kununua gari ilihali kila siku unaona ajari zinazotekea?tatizo lako ni hilo, wachaga wamekufaya nini? Kila mmoja unampakazia ni mchaga
Issue ya gari ni personal na ni subject maintenance ya gari na mwenye gari! Meli ni public property ambayo inatia mashaka sana kwa Tanzania tulivyo na uangalifu wa vifaahivi!Sasa mkuu unaendaje kununua gari ilihali kila siku unaona ajari zinazotekea?
Tuletee picha mkuuTukio liko mubashara TBC
Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka
Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo
Mungu ni Mwema wakati Wote
Kwani Kesi ya kuzama kwa meli hujawah kuisikia katika Taifa jingine nje ya Tanzania?Issue ya gari ni personal na ni subject maintenance ya gari na mwenye gari! Meli ni public property ambayo inatia mashaka sana kwa Tanzania tulivyo na uangalifu wa vifaahivi!