Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.

Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM

Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua ishuke.

Godbless Lema is a man of the match
 
ni anga lote la tanzania mvua tu
 
MUHUNI MBOWE ZABANGA SESESEKO KUSHINDA UCHAGUZI NI NGUMU ...KUNA AINA YA RUSHWA ANGEITUMIA KIDOGO ANGEWEZA KUSHINDA
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nimerudi Dar usiku wa leo kutoka majuu!

Asubuhi napata taarifa ya Lissu kushinda Uenyekiti CHADEMA. Kikubwa zaidi sasa hivi mvua inanyesha Dar.

Kweli Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu maana mvua ni ishara ya kitu kupata kibali cha Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…