LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
mvua inanyesha mpaka nyumbani kwao anakotokaHiyo no ishara tundu amekubaliwa na anga la Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mvua inanyesha mpaka nyumbani kwao anakotokaHiyo no ishara tundu amekubaliwa na anga la Tanzania
ni ishara kuwa utemi umeenda kwa mwingineKwenda huko!! Huku Moshi jua linawaka !
mvua ni barakaHii mvua ni machozi mbingu zinalia.
Je ni machozi ya furaha au machozi ya huzuni?
Time will tell
Kweli kabisa.Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za MungKu lazima mvua ishuke.
Godbless Lemais a man of the match
Kama kweri mvua ni baraka basi hii ni noma maana nipo hapa kwao ikungi kwao vijiji vyote kuanzia mahambe alipo somea mpaka banda 2 huko mbele kabisa ni mvua leo siku 3.Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua ishuke.
Godbless Lema is a man of the match
@zeromunis10🐒Mwasi Kitoko Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Waulize na watu waliopo Singida tujue huko IKUNGI jua linawaka kama Moshi au mvua inanyesha kama Dar?ni ishara kuwa utemi umeenda kwa mwingine
Mwasi Kitoko LIKUD@zeromunis10🐒
kama hujui Singida nzima mvua inanyesha, hasa Ikungi, tena ile mvua ya shangwe. Agalia hali ya hewa kwenye simu yako uoneWaulize na watu waliopo Singida tujue huko IKUNGI jua linawaka kama Moshi au mvua inanyesha kama Dar?
Hiyo mvua bora inyeshe huku mza mazao yananyauka shambani huko dar mnalima niniMbona watu mna hasira sana? Sisi watu wa Lissu tunaamini hii mvua ni baraza za Mungu kwa ushindi huu.
Natamani Lema awe Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Kweli Mkuu, hata wakati tunapata uhuru mvua zilinyesha pia. Hii ni dalili njema sana kwa Lissu.Kushinda Kwa lisu na kunyesha Kwa mvua inaashiria kuwa amechaguliwa na Mungu.Na CCM ni mawakala wa shetani maana Mvua haikunyesha
Ww ni mgeni nchi hii?Hivi mbona kila kitu mnakiwekea siasa!
Mkuu huku mvua ina nyesha ya kutosha.Waulize na watu waliopo Singida tujue huko IKUNGI jua linawaka kama Moshi au mvua inanyesha kama Dar?