Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

Mvua hii nimeipa jina la Tundu Lissu mkuu.
 
Ndugu Tlaatlaah njoo utie neno hapa.
 
Hata kipindi cha Mitihani, ikinyesha huo mtihani huwa ni rahisi.
Sema kuna mvua ilituogesha paper fulani hivi unagusa exam sheet inaloa pia. Kitu kilikomaa hicho hatukuamini
 
Vipi alivyopigwa risasi 16 na akapona? Hukuona ukuu wa Mungu kwake kwenye suala hili?

Au ndo sonona tu inakusumbua?
Mnavyoshangilia utadhani Lissu kuwa mwenyekiti ndio CDM itachukua nchi...
 
Hii mvua ni machozi mbingu zinalia.

Je ni machozi ya furaha au machozi ya huzuni?

Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…