Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

Kweli kabisa.
 
Kama kweri mvua ni baraka basi hii ni noma maana nipo hapa kwao ikungi kwao vijiji vyote kuanzia mahambe alipo somea mpaka banda 2 huko mbele kabisa ni mvua leo siku 3.
 
Kushinda Kwa lisu na kunyesha Kwa mvua inaashiria kuwa amechaguliwa na Mungu.Na CCM ni mawakala wa shetani maana Mvua haikunyesha
Kweli Mkuu, hata wakati tunapata uhuru mvua zilinyesha pia. Hii ni dalili njema sana kwa Lissu.
Ni chaguo la Mungu
 
Kama kweri mvua ni baraka basi hii ni noma maana nipo hapa kwao ikungi kwao vijiji vyote kuanzia mahambe alipo somea mpaka banda 2 huko mbele kabisa ni mvua leo siku 3.
Oktoba 2025 itanyesha ya baraka zaidi
 
Retired na wenzako mkuye huku tuendelee na gumzo!
Tuliwaambia Lissu ni chaguo la wengi mkatubeza sana!
All in All maisha yaendelee!

Tanganyika ileeeee
Wengi wenu mlisahau hili mkapigania kisichokuwepo!

Mungu ni fundi!
Tutaheshimiana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…