Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Watu wa dar hamna shukrani hata kidogo,mvua mnalalama na jua mnalalama pia
Na mmoja wao kaandika hivi👇
Screenshot_20231102_165520_WhatsApp.jpg
 
mkiambiwa msevu hela kwa dharula kama hii ili msilale njaa hamsikii na badala yake mnakula hovyo bata na zikiisha mnaanza kutusumbua kwa milawana yenu hii isiyo na kichwa wala miguu
Wewe naye majanga tu,unadhani kila mtu anao uwezo wa kusave!? Kuna watu kula kwake lazima aende kibaruani,ni hand to mouth activities,nyie watu mliopitia kwenye familia za milo mitatu hamfai kuwa viongozi wa taifa hili,mnarahisisha sana maisha,mimi hapa na kazi yangu ya ualimu sina uwezo wa kusave chakula cha mwezi mzima
 
mbona una makasiriko?
 
Moja kwa moja,

Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.

Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta dhihaka, sasa kwa hali inayondelea bado wale waliokuwa wanabeza na kudharau wanashikilia misimamo yao?

View attachment 2801355

View attachment 2801356

View attachment 2801357

Wabongo tupende kuamini vya kwetu..
acheni ulalalamishi
#UziTayari

Watu wa dar hamna shukrani hata kidogo,mvua mnalalama na jua mnalalama pia
Yaani sijui wanataka nini .watu wa dar ni kulalamika tu
 
Moja kwa moja,

Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.

Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta dhihaka, sasa kwa hali inayondelea bado wale waliokuwa wanabeza na kudharau wanashikilia misimamo yao?

View attachment 2801355

View attachment 2801356

View attachment 2801357

Wabongo tupende kuamini vya kwetu..

#UziTayari
Mvua za msimu.hakuna mvua kubwa bado
 
Ndio tupo, nimeamini kweli mzarau/mzalau mwiba Guu/Mguu huota TENDE....
 
Back
Top Bottom