Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Kwa wale wenye mifugo au wenye kufuga mbwa au paka majumbani tazameni watapoanza kubadilisha tabia ghafla, mjuwe kuna hatari wana i sense.

Mwenyeezi Mungu aliwajaalia wanyama wote sensors za early warning kwa mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi isiyo ya kawaida.
Aisee.
 
Moja kwa moja,

Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.

Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta dhihaka, sasa kwa hali inayondelea bado wale waliokuwa wanabeza na kudharau wanashikilia misimamo yao?

View attachment 2801355

View attachment 2801356

View attachment 2801357

Wabongo tupende kuamini vya kwetu..

#UziTayari
Ni mm ngapi za mvua? Au ulikuwa unaangalia kwa macho tuu?
 
Tunaipongeza CCM kwa kutuletea mvua ili makali ya mgao wa umeme yapungue...
 
Maeneo ya Kanda ya Ziwa na kaskazini zilianza mapema kidogo.
Muda ni kwa sababu upepo unaoleta mawingu ya mvua unaweza kubadili speed na uelekeo. Mabadiliko ya temperature na humidity, n.k.
Na ndiyo maana wanaita utabiri (forecast).
Ukielewa maana ya utabiri utajua inaweza usiwe 100%.
"A seven-day forecast can accurately predict the weather about 80 percent of the time and a five-day forecast can accurately predict the weather approximately 90 percent of the time. However, a 10-day—or longer—forecast is only right about half the time."
Kwa hiyo Kanda ya Ziwa kuna mvua za El Nino toka Oktoba?
 
Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Sintasahau mvua za El nino 1997 na 1998

Kila nikienda Manyara National Park na kuona ile miti iliyong'olewa na mvua basi naikumbuka
 
hakuna mvua yoyote ya kutisha mvua ilipiga jana ni mvua ya kawaida tu na kama mvua hiyo itapiga mikoani ni kama rasha rasha tu
 
Sintasahau mvua za El nino 1997 na 1998

Kila nikienda Manyara National Park na kuona ile miti iliyong'olewa na mvua basi naikumbuka
Mkuu ile Elnino ilikuwa hatari nashangaa mtu akilinganisha hizi mvua vuli na Elinino ila simlaumu pengine umri wake Sio mkubwa kuyajua haya yote
 
Back
Top Bottom