Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Maji yanaachwa hata hakuna mipango ya kuyatunza ili kusambaza kwa watumiaji hapo baadae watakuja kutoa Tangazo la ukame wa miezi miwili au kina cha maji kimepungua huko Mtera na kuweka ratiba ya kukata Umeme hao ndio Watanzania vitu muhimu hatuviwezi tupo busy na mambo sijui ya SGR ambayo sio ya leo wala kesho kukamilika...
 
Zee la upako limeufya au linakuja na story mbofumbofu
 
Au kununu mandege ambayo hayana positive impact yeyote kwenye uchumi badala yake ni tunasikia hasara
 
Walisema mvua kubwa itanyesha october mwanzoni sasa leo ni 2nd nov wapi na wapi, ni sawa mtu akutabirie kuwa ikifika saa 1 kutakuwa na giza wakati ni hali ya kawaida. Msimu huu ni wa vuli kuanzia october sasa katikati inaponyesha mvua usianze kututabiria kama mganga pazi.
 
Mkeka umechanika, wazee wa kubet wamefeli pabaya Newcastle kampiga Mwamtesa United goli 3 kavu na Mamelodi kamchakaza Al Ahly,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…