Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Aisee.
 
Ni mm ngapi za mvua? Au ulikuwa unaangalia kwa macho tuu?
 
Tunaipongeza CCM kwa kutuletea mvua ili makali ya mgao wa umeme yapungue...
 
Kwa hiyo Kanda ya Ziwa kuna mvua za El Nino toka Oktoba?
 
Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Sintasahau mvua za El nino 1997 na 1998

Kila nikienda Manyara National Park na kuona ile miti iliyong'olewa na mvua basi naikumbuka
 
hakuna mvua yoyote ya kutisha mvua ilipiga jana ni mvua ya kawaida tu na kama mvua hiyo itapiga mikoani ni kama rasha rasha tu
 
Sintasahau mvua za El nino 1997 na 1998

Kila nikienda Manyara National Park na kuona ile miti iliyong'olewa na mvua basi naikumbuka
Mkuu ile Elnino ilikuwa hatari nashangaa mtu akilinganisha hizi mvua vuli na Elinino ila simlaumu pengine umri wake Sio mkubwa kuyajua haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…