Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Inafahamika kwa miaka hii tuliyonayo graphics design na video editing ndio future yenyewe. Hili video yako iwe nzuri ni vyema ukaifanyia editing nzuri. Hivyo tuko hapa na timu nzima kuhakikisha hilo linafanikiwa.

Kwanini kwa sababu zaidi ya asilimia 90 ya mitandao yote kwa Sasa wanatumia video kwenye platform zao. Iwe YouTube, Instagram, TikTok, Facebook, Twitter e.t.c mbali na hivyo unaweza kujiajiri kwa kuanzisha video editing company.

Hivyo ili uweze kuwa na platform kubwa itakulazimu uwe na skills tajwa hapo juu. Graphics design au Video editing ili marketability yako iwe vizuri.

Sasa kwa kuliona hilo tukaamua tuwatafute vijana wenzangu walio tayari kujifunza graphics design na video editing niwajengee uwezo wa kuwafundisha hizi skills for almost free. Ndio bure! sababu najua Hali ya kiuchumi kwa Sasa sio nzuri kwetu vijana ila Kama atakuwepo mtu akaguzwa kutoa chochote Kama shukrani. Tutaapreciate pia.

Sasa Basi Kuna mengi zaidi ya kushare na kudiscuss ikiwemo module na modes of learning. Link hii hapa group letu la telegram ujifunze zaidi. Editing Masterclass.

Karibuni! I
Hii inasuluhisho flani kwenye mada mezani?
 
Wapi kwa Bulldozer Mwamposa au?
Linaitwa "Only Cutie Ladies' Confessionary Christ Church" chini ya Mtume Chige!!

Tena ujumbe huu aupate na Saint Anne aje kuungama kanisani kwangu kwanini anataka mahari wakati yeye sio kigori ili hali biblia inahamasisha mahari kwa vigori! Huyu anatakiwa aje kuungama ikiwa anaviziwa viziwa ni kapepo kapenda pesa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1st born naona unanikorofisha eeeh!?!?.
 
Unategemea kwa ishu ya mafuriko kama huko boko mdee itamsaidia?
Hivi hakuna mgombea wa chama kingine ngazi ya Ubunge jimbo la Kawe? Naona kuna picha nyingine ya mwana mama jina silikumbuki, hivyo siongelei Mdee pekee hapa.
 
Back
Top Bottom