Na by the way,
Ukishaona mtu anakuja kwenye uzi kama huu ambapo watu wanajadili mafuriko na adha za usafiri jijini Dar, yeye anaanza kukuambia eti hata Joberg, sijui London nako hua kuna mafuriko, so what? Kwahiyo kama huko kuna mafuriko maanake sisi hatuwezi ku improve huku kwetu? Kwahiyo watu waliofika majumbani saa 10 alfajiri wasilalamike kisa Joberg nako kuliwahi kutokea mafuriko? Ndio maana nasema kutembea nchi mbalimbali na kujidai kwamba una exposure hakumuondolei mtu kale ka ushamba ka asili ambako alitoka nako kijijini na lazima kataonekana tu hawezi kukaficha!