Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane...Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Litapunguza vumbi, hivi wana dar mnasherekea kuona mvua kupunguza vumbi, hivi hakuna zao la kibiashara mnaloweza kupanda [emoji1787][emoji1787], nyie vijana wa dar mnaombea mvua inyeshe ili vumbi lipotee,kwa vijana ni ngumu kujikwamua kiuchumi kwa hali hii
 
Hivi wataalamu wa jiji na Serikali kwa ujumla wana mikakati yoyote ya kuweza KUVUNA MAJI YA MVUA? maana naskia huko dar maji changamoto sugu
Tupo kwenye serekali ambayo inajinadi kutatua changamoto za wananchi kuliko serekali zote zilizopita halafu unasema kuwa Dar maji ni changamoto sugu?Una akili timamu kweli wewe mtu?!
 
Huku kwetu inanyesha tangu asubuhi na trafiki polisi wanalalamika ati nchi inakosa mapato nimeshangaa

1602576917921.png
 
Back
Top Bottom