Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Litapunguza vumbi, hivi wana dar mnasherekea kuona mvua kupunguza vumbi, hivi hakuna zao la kibiashara mnaloweza kupanda [emoji1787][emoji1787], nyie vijana wa dar mnaombea mvua inyeshe ili vumbi lipotee,kwa vijana ni ngumu kujikwamua kiuchumi kwa hali hii
Dar hakuna shamba,shamba ni akili yako/mtaji
 
Picha iko wapi?
DarSlum🌧🌧
20201013_134830.jpg
20201013_145642.jpg
20201013_145831.jpg
20201013_134913.jpg
 
Habari za jioni wana-Dar?
Hii mvua inayoendelea kunyesha haijaleta madhara kweli? Tujuzane yanayojiri ili tujue njia zisizopitika tujue tunafanyaje.
 
Wadau hapa nilipo sijatoka mishemishe kuna mvua kubwa inanyesha yan hatari tupu barabara hazipitiki kabisa
 
Back
Top Bottom