Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mwache arudi bhana walau tushiriki kukinywea hiki kikombe.Usirudi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache arudi bhana walau tushiriki kukinywea hiki kikombe.Usirudi kabisa
Aisee, siku hizi tumeendelea sana tuna hadi 'flai ova'.Jamani nimekuchukia DSM..tangu niondoke 2016.. sitaki hata kurudi
Wanaoshangaa Mvua za Dar wengi wao wamekuja Dar wakiwa tayari wakubwa!!Poleni.
Nilikua nasoma Kibasila A Level siku hiyo mvua ilinyesha kuanzia asubuhi mpaka mida ya kutoka shule.
Kigogo na Jangwani ni maeneo sugu kwa kujaa maji mvua ya hivi husababisha aliyeko Boma kwenda huko Mbagala na Temeke ni wa huko na aliyeko Kigogo kuja Magomeni ni wa huku.
Ukisema uende Kkoo unajikuta Jangwani hapapitiki.
Ile siku nilitembea kwa mguu kutoka Temeke mpaka Makumbusho. Nafika Kigogo nakuta nyumba zote zimefunikwa na maji watu wapo juu ya mapaa ya nyumba.
Wiki mbele baada ya mvua kukata na jua kuwaka watu wanarudi makazi yao kama kawaida. Same routine miaka nenda miaka rudi.
Watu wazima madereva wenye leseni zenu,eti mmeshindwa kujioongoza kwenye Gridlock, mnataka kuilaumu Serekali,au mnazani hakuna Ma Afisa wa Serekali ambao nao walikwama kwa hiyo Gridlock!? Sasa huko driving school mlienda kusomea nini!? Next time ndiyo mjifunze uvumilivu inapotokea hali Kama hiyo,maana wengine walikua wanaforce hadi wanatumbukia Mitaroni huko!!Hii ya foleni ya Banana majumba sita ni ya hovyo kiwahi kutokea.Naona serikali imeamua kutuachia wenyewe tupambane na hali zetu.Yaan toka saa kumi bado hata mataa ya majumba sita sikafika.wala hakuna dalili kama tutatoka hapa
Ulifika home saa ngapi?Kesho isingekuwa Sikukuu muda huu tungerudi ofisini tu
Umehamia wapi pasipo na foleni?Jamani nimekuchukia DSM..tangu niondoke 2016.. sitaki hata kurudi
Wee si SAA saba hii ilikuwaHii ya foleni ya Banana majumba sita ni ya hovyo kiwahi kutokea.Naona serikali imeamua kutuachia wenyewe tupambane na hali zetu.Yaan toka saa kumi bado hata mataa ya majumba sita sikafika.wala hakuna dalili kama tutatoka hapa
Wwe ndiyo una akili safi sana, Madereva wa Dar tujifunze ku relax inapotokea emergency yoyote ile Kama ile ya Corona, Watu wengi walisha aanza kupaniki hadi Mzee Baba akawatuliza hali ikakaa sawa hadi leo!!Mkuu nimeamua kuzima Gari kabisa. Foleni imesimama kabusa saa 8 na dk17 muda huu
Hivi siku hizi driving school wana mitaala ya kukwepa foleni?Watu wazima madereva wenye leseni zenu,eti mmeshindwa kujioongoza kwenye Gridlock, mnataka kuilaumu Serekali,au mnazani hakuna Ma Afisa wa Serekali ambao nao walikwama kwa hiyo Gridlock!? Sasa huko driving school mlienda kusomea nini!? Next time ndiyo mjifunze uvumilivu inapotokea hali Kama hiyo,maana wengine walikua wanaforce hadi wanatumbukia Mitaroni huko!!
Achaa kuwaalaumu Traffic,hiyo ni Gridlock,ni Kama tetemeko la Aridhi linapita kwa muda usiyojulikana!! Punguza kua na akili Kama za Mbeligiji yeye analalamika tu toka karudi Nchini!!Kazi ya Traffic ni kukamata magari yenye vikosa vya kijinga ambavyo vinastahili elimu ndio kazi yao kubwa wale wash%%$$$$.Ila issue critical kama hii wanagwaya wao wanajua kushika tochi tu.
Tukutane tr 28 Ict
Wwe this is not a big deal,hili unaweza kuja kuliona tena may be after 10yrs or 5yrs!!Na hutosikia vyombo vya habari kesho vikiongelea hii
Wwe hiyo ni Gridlock relax!! Kuna kipindi Cha nyuma naishi JHB ilishawai tokea kuanzia Hillbrow hadi kule Newtwn!!Hapa kunawahindi wanafanya kitendo cha kiungwana sana,yaani wameamua kugawa maji ya kunywa kwa kila aliyepo kwenye gari,maana ni njaa na kiu tangu saa kumi jioni mpaka sasa watu wapo barabarani,foleni za kipuuzi hata chanzo hakijulikani,daah alafu tunaambiwa miundo mbinu safi,naona Mungu ameamua kutufunulia
Sasa hivi tuachaneni na Magari,tuingie mfumo wa kutumia Helkopta!!Ungepanda Ndege to London ungekuwa umeshafika na kupata Kahawa. Pole Mkuu
Hapo ndiyo ujuwe Nchi hii ni ya Baba wa Taifa! Ona jua linavyowaka leo hadi rahaa,hata Kama kuna vitu vimeingia maji navyo vinafurahia jua!!Kesho isingekuwa Sikukuu muda huu tungerudi ofisini tu
Bora usirudi wengine tupumuwe!! Hahaahaahaa!![emoji2957]Jamani nimekuchukia DSM..tangu niondoke 2016.. sitaki hata kurudi
Hata wwe Mshana Jr hujui Nini maana ya Gridlock!? Kweli au unataka ka sababu kakuulaumu Serekali!?
Na kweli Jana ndiyo nimeiona Tanzania inawaka,kumbe watu wengi mnamiliki vyombo alafu bado mnalaumu Maendeleo!?Zuchu anakwambia tanzania ya sasa mama inawakawaka tanzania ya magufuli majaliwa na mama samia