Mgeni wa Gari hawezi kukubali kulipia gari yake ilale mbali na yeye,atakoma nayo hadi alfajiri!!Pole sana mkuu lakini siku nyingine unatakiwa kujiongeza sio kukomaa na Gari. Ungeamua kwenda hapo airport ukapaki na kuondoka na boda kwenda home. Leo ungeenda asubuhi kuchukua gari. Ungelipishwa shs 2000 kwa saa. Ambayo si kubwa ukilinganisha na adha iliyopita barabarani.
Wwe una hasira sana Kama za Mbeligiji punguza Munkari!!Ni majitu ya ajabu sana wala usiwawaze...usisahau wengi ni failures
Sijawahi ona foleni kama ya jana. Nimetumia masaa 8 kutoka posta mpaka nyumbani.Foleni ya leo balaa. Ninapoandika thread hii bado niko kwenye foleni Airport
Leo ni balaa for sure. Naona Traffic wamesusa leo.
Tena hapa...naona Kama Mambo yakienda fresh nahamia bush kabisa huko...Bora usirudi wengine tupumuwe!! Hahaahaahaa!![emoji2957]
Mgeni wa Gari hawezi kukubali kulipia gari yake ilale mbali na yeye,atakoma nayo hadi alfajiri!!
barabara ya bibi titi+mwinyi+bagamoyo jana nayo ilikua balaa...Hii ya foleni ya Banana majumba sita ni ya hovyo kiwahi kutokea.Naona serikali imeamua kutuachia wenyewe tupambane na hali zetu.Yaan toka saa kumi bado hata mataa ya majumba sita sikafika.wala hakuna dalili kama tutatoka hapa
Mkuu Kwani vikiliongelea ndo nini kunatokea?
Hadi Uvumilivu Wana fundisha!!Hivi siku hizi driving school wana mitaala ya kukwepa foleni?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
China watu walika siku 12 foleni yaan masaa kazaa tu watu washaaanza kulalamikaWatu wazima madereva wenye leseni zenu,eti mmeshindwa kujioongoza kwenye Gridlock, mnataka kuilaumu Serekali,au mnazani hakuna Ma Afisa wa Serekali ambao nao walikwama kwa hiyo Gridlock!? Sasa huko driving school mlienda kusomea nini!? Next time ndiyo mjifunze uvumilivu inapotokea hali Kama hiyo,maana wengine walikua wanaforce hadi wanatumbukia Mitaroni huko!!
Tatizo la Dar wanaotoka ni wa Chache na wanaoingia ni wengi,kila siku pale Ubungo!!Tena hapa...naona Kama Mambo yakienda fresh nahamia bush kabisa huko...
Mkuu wazo lako zuri. Lakini msururu ule wa magari wote tungepata wazo hilo Airport pasingetoshaPole sana mkuu lakini siku nyingine unatakiwa kujiongeza sio kukomaa na Gari. Ungeamua kwenda hapo airport ukapaki na kuondoka na boda kwenda home. Leo ungeenda asubuhi kuchukua gari. Ungelipishwa shs 2000 kwa saa. Ambayo si kubwa ukilinganisha na adha iliyopita barabarani.
Saa 10.37 juu ya alama
Inachangiwa na vyote, Hali ya hewa na Watu pia!! Kwa mfano hapa DAR Madereva wengi hawajapita really shule ya driving japo leseni wanazo! Sasa Hali ya hewa ikibadilika ghafla barabarani nao wanapanic na kupoteza concentration!! Mwisho inakua jam coz the can't drive without a traffic Police on the Road!!Kweli,wengi hupenda kulala gari akiliona .ila hiyo gridlock sababu ni watumiaji au ni hali ya hewa.
Halafu unaambiwa nchi uchumi wa kati... Usengee huuPoleni.
Nilikua nasoma Kibasila A Level siku hiyo mvua ilinyesha kuanzia asubuhi mpaka mida ya kutoka shule.
Kigogo na Jangwani ni maeneo sugu kwa kujaa maji mvua ya hivi husababisha aliyeko Boma kwenda huko Mbagala na Temeke ni wa huko na aliyeko Kigogo kuja Magomeni ni wa huku.
Ukisema uende Kkoo unajikuta Jangwani hapapitiki.
Ile siku nilitembea kwa mguu kutoka Temeke mpaka Makumbusho. Nafika Kigogo nakuta nyumba zote zimefunikwa na maji watu wapo juu ya mapaa ya nyumba.
Wiki mbele baada ya mvua kukata na jua kuwaka watu wanarudi makazi yao kama kawaida. Same routine miaka nenda miaka rudi.
Uzembe na kutokujia vipaumbele...jangwani pale na mkwajuni kufungwa ndio vyanzo. Gari zooote za huku ambazo kikawaida ni nyingi ilibidi zikajaze barabara nyingine. Pia polisi kugwaya. Trafiki polisi nimewatambua ni waoga sana. Wakizidiwa WANAKIMBIA sasa wakikimbia ndio kila mtu anaenda njia yoyote.Lakini leo imekuwaje na hii foleni? Kimsingi tumelala nje ya Nyumba zetu. Barabara nyingi zimezidiwa na Magari.
Wabongo ni shida! Tena mi naomba siku ya Uchaguzi Vua la Jana lishuke,na NEC hakuna kuhairisha Uchaguzi, mwenye uwezo wa kupiga Kura aendee akapige Kura,nakura zitakozopigwa ndiyo hizohizo zitakazo hesabiwa! Angalia Mziki hata Kura 50 hazitafika!! Alafu eti kuna watu Wanataka kinuke, wakati small Gridlock inawatowa jasho!!China watu walika siku 12 foleni yaan masaa kazaa tu watu washaaanza kulalamika
Kwani traffic nao wanagombea ?Kazi ya Traffic ni kukamata magari yenye vikosa vya kijinga ambavyo vinastahili elimu ndio kazi yao kubwa wale wash%%$$$$.Ila issue critical kama hii wanagwaya wao wanajua kushika tochi tu.
Tukutane tr 28 Ict