Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk.

Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia picha mamlaka zione

Huku Bonyokwa na milima yetu ni kuteleza tu
 
Bado mmelala eeh?
Sasa nije kusikia mtu ananiita Freemason baadae.. 💨
 
Vijana wa Dar ni watu wa hovyo sana. Yaani mvua kwao ni habari. Wamekaa legelege mno zaidi hata ya baadhi ya dada zao
Na ngoja mvua iishe kila mtu ana sweta zito 😂
 
Back
Top Bottom