Sniper999
Member
- Apr 23, 2025
- 20
- 25
Hakuna nini?Badala ya kunyesha kwenye mashamba yetu inanyesha Dar mahali ambako hakuna faida yeyote.
Hakuna nini?Badala ya kunyesha kwenye mashamba yetu inanyesha Dar mahali ambako hakuna faida yeyote.
Changamkia mrembo huyo na hali ya hela unashawishi kwichi kwichiNa mimi pia
Hahahaha unanitukana sio?😁😁😁Unakatwaaa?!
Sijui mie, 😂😂😂😂Hahahaha unanitukana sio?😁😁😁
HaiwezekaniKila siku zinapoendelea kwenda kuna vtu utasahau mazima mkuu 😂😂😂😂😂
Oohoo kumbeNa mimi pia
Makubwa sa huo urembo umeuona wapiChangamkia mrembo huyo na hali ya hela unashawishi kwichi kwichi
Zamani nilikuwa na kabiashara karibia na kwa TOLUWakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk.
Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia picha mamlaka zione
Huku Bonyokwa na milima yetu ni kuteleza tu
Unapafahamu MOshi Bar au kwa Diwani au kwa Mkolemba? 🙂Eeee nipo gomsi mwaya
Au bomba 2Unapafahamu MOshi Bar au kwa Diwani au kwa Mkolemba? 🙂
Fanya tujuane zaidiOohoo kumbe
Na sikuhizi june-july tunavaa masweta😀Na ngoja mvua iishe kila mtu ana sweta zito 😂
Wanawake wote wa jf wazuri kama vile wanaume wote wa jf matajari na hawana vibamia kasoro mimi tuu mzabzab mwenye kibamia na sina helaMakubwa sa huo urembo umeuona wapi
Hapa ni Ifakara, sio mwaka huu.Mvua imeleta athari maeneo mengi
View attachment 3312770
Kabla ujafika uko shukia mazizini apaUnapafahamu MOshi Bar au kwa Diwani au kwa Mkolemba? 🙂
cc Lucas Mwashambwa aione kwenye jaladaHizi mvua sasa zinatosha ngoja wale jamaa wakijani waje wamshukuru kwa mvua.
Hapo nilishawahi kukesha.....natia sarafu kwenye box nasikiliza wimbo wa Kofi Olomide....Silivie....nakula mayi mpaka juzi ya jana yakeKabla ujafika uko shukia mazizini apa
Raha sana...jioni ushapata bafu...umetulia nje....Au bomba 2
Sasa hapa relini kuna hii bar mpya ya kumalija oa weeeeh hatareee na nusuRaha sana...jioni ushapata bafu...umetulia nje....