Zuleha
Senior Member
- Apr 29, 2024
- 124
- 371
Ulongoni ndo kuna mafuriko mkuu upande huu hamna kuswimMnaswim tuu au sio
Ulongoni ndo kuna mafuriko mkuu upande huu hamna kuswimMnaswim tuu au sio
Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk.
Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia picha mamlaka zione
Huku Bonyokwa na milima yetu ni kuteleza tu
Hawa kiboko huko ndani vitanda si vinaeleea 😂😂Mvua imeleta athari maeneo mengi
View attachment 3312770
😃Mama samia auMvua za Mama hizi, tutarajie mengi mazuri....
Hao ndio wameonyesha wako committed na jambo lao 😂😂😂 a true meaning of iwe jua iwe mvua.Hawa kiboko huko ndani vitanda si vinaeleea 😂😂
Ila wadada jamani ebu punguzeni kutamani hela mpaka unaenda kushenyentwa kwa loddge imejaa majiHawa kiboko huko ndani vitanda si vinaeleea 😂😂
Wewe unatumia kitochi?Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk.
Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia picha mamlaka zione
Huku Bonyokwa na milima yetu ni kuteleza tu
Unakatwaaa?!Muda wa kutoka kwenye mashimo huu nyie panya wa Dar.
😂😂😂😂😂Sasa leo ni watu wa bolt kisafirisha mbususu zikagegedwe 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Mvua imeleta athari maeneo mengi
View attachment 3312770
Tunapo elekea ipo siku tutamahukuru kwa kuleta pumzi...😂TUNAMSHUKURU MAMA SAMIA KWA MVUA KUBWA, AMELETA MVUA ASANTE SANA, BILA JUHUDI ZAKE MVUA ZISINGELINYESHA HIVI
😂😂😂Jamani hawa kweli wako seriousHao ndio wameonyesha wako committed na jambo lao 😂😂😂 a true meaning of iwe jua iwe mvua.
Kila siku zinapoendelea kwenda kuna vtu utasahau mazima mkuu 😂😂😂😂😂Mimi nipo naogolea kwenye dimbwi la mahaba!
Na mimi piaEeee nipo gomsi mwaya