Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Zuu kumbe tupo wote Goms hapa na hatuonani? Ngoja mvua ikate tuonaneNipo gomsi mvua kama kawa kama dawa.
TUNAMSHUKURU MAMA SAMIA KWA MVUA KUBWA, AMELETA MVUA ASANTE SANA, BILA JUHUDI ZAKE MVUA ZISINGELINYESHA HIVIHizi mvua sasa zinatosha ngoja wale jamaa wakijani waje wamshukuru kwa mvua.
Vijana wa Dar ni watu wa hovyo sana. Yaani mvua kwao ni habari. Wamekaa legelege mno zaidi hata ya baadhi ya dada zaoMvua ikinyesha Dar lazima usikie vilio.
Hakika na tangu TAL awekwe ndani mvua zinanyesha.TUNAMSHUKURU MAMA SAMIA KWA MVUA KUBWA, AMELETA MVUA ASANTE SANA, BILA JUHUDI ZAKE MVUA ZISINGELINYESHA HIVI
ππππVijana wa Dar ni watu wa hovyo sana. Yaani mvua kwao ni habari. Wamekaa legelege mno zaidi hata ya baadhi ya dada zao
Na ngoja mvua iishe kila mtu ana sweta zito πVijana wa Dar ni watu wa hovyo sana. Yaani mvua kwao ni habari. Wamekaa legelege mno zaidi hata ya baadhi ya dada zao
Eeee nipo gomsi mwayaZuu kumbe tupo wote Goms hapa na hatuonani? Ngoja mvua ikate tuonane
Muda wa kutoka kwenye mashimo huu nyie panya wa Dar.Subiri wanakuja na picha, wakiwa wana ogelea kwenye mafuriko hayo. Lol
πππππ
Mnaswim tuu au sioNipo gomsi mvua kama kawa kama dawa.