Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Gongolamboto, Segerea,Tabata,Kinyerezi Pugu,mvua imenyesha Sana na kusababisha nyumba nyingi kuzingirwa na Maji.
Tulichofaidi raia ni kukinga Maji kwenye mapaa ya nyumba za kisasa na kuoga Maji ya mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…