dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Mfano wako nimeuelewa..lakini kwanini kopo hilohilo leo litoe maji mengi(mvua kubwa) mpaka yanamalizika na siku nyingine yatoke kidogokidogo(rasharasha) mpaka yanamalizika?Chukua kopo litie maji alafu litoboe chini automatically maji yata mwagiga mengi kwanza na yatamalizikia yakimwagika kidogo...na hapo utauliza je kopo lina koki.
Huna jpyaElimu Elimu Elimu
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa ndipo tunamkumbuka Lowassa mzee wa Mabadiliko.Elimu Elimu Elimu
Inategemea na kiasi cha mgando wa maji/water vapour/unyevu ulioko angani au hata ulioletwa kwa upepo kutoka eneo lingine.Mfano wako nimeuelewa lakini kwanini kopo hilohilo leo litoe maji mengi(mvua kubwa) mpaka yanamalizika na siku nyingine yatoke kidogokidogo(rasharasha) mpaka yanamalizika?
Haijawai tokea mvua ikanyesha kubwa bila kumalizikia na ya manyunyu Kama nikivyoeleza kwenye kopo.Mfano wako nimeuelewa..lakini kwanini kopo hilohilo leo litoe maji mengi(mvua kubwa) mpaka yanamalizika na siku nyingine yatoke kidogokidogo(rasharasha) mpaka yanamalizika?
Kwahiyo unataka kusema mvua inakaa kwenye kopo huko angani? 😄😄Chukua kopo litie maji alafu litoboe chini automatically maji yata mwagiga mengi kwanza na yatamalizikia yakimwagika kidogo...na hapo utauliza je kopo lina koki.
Walimu wa shule munachangamoto sana.Kwahiyo unataka kusema mvua inakaa kwenye kopo huko angani? 😄😄
Sasa hilo Ni swali la kuuliza mtu aliepata japo elimu ya darasa la Saba.Huna jpya
Naishi jiran na maktaba hapa...hebu nitajie hiyo mada inaitwaje? Ipo kitabu gani cha darasa la nne...ukurasa wa ngapi??niende kusoma Ili nipate jibu mkuuSasa hilo Ni swali la kuuliza mtu aliepata japo elimu ya darasa la Saba.
Hiyo ni mada ya darasa la 4.Swali la aibu kabisa mtu mzima tena yuko jf.
ELIMU ELIMU ELIMU
Ndo nataka nijue hali ya hew ikiwa vp mvua mawingu yanatoa mvua kubwa au ndogoKuna mawingu mazito na mepesi... Mazito yanaleta mvua kubwa huku mepesi yakileta mvua za rasharasha.
Pia mawingu mazito yanaweza kunyesha mvua ndogondogo kutokana na hali ya hewa iliyoko angani.
Acha ujinga.Una smartphone na bando umeweka halafu unashindwa kugoogle jinsi mvua inafanyiwa na aina zake.Naishi jiran na maktaba hapa...hebu nitajie hiyo mada inaitwaje? Ipo kitabu gani cha darasa la nne...ukurasa wa ngapi??niende kusoma Ili nipate jibu mkuu
Tatizo ni Elimu , atakusumbua Tu huyoHaijawai tokea mvua ikanyesha kubwa bila kumalizikia na ya manyunyu Kama nikivyoeleza kwenye kopo.
kwenye suala la kunyesha ndogo tu mwanzo mwisho tukirudi mfano wa kopo ni hilo kopo lijajaa means pressure ndogo.