dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Huwa najiuliza inakuaje kuna muda mvua inanyesha ndogo tu ambayo huitaji hata muavuli (rasha rasha)
Lakini muda mwingine hunyesha kubwa sana..kiasi kwamba mpaka mafuriko au kelele nyingi sana juu ya bati
Je, nini kinachopunguza au kuongeza hii presha ya mvua..ikiwa huko angani hakuna koki au kitu chochote kinachoizuia..mpaka nawaza au kuna matabaka mawili..mojanlenye matobo madogo madogo na lingine lenye matobo makubwa makubwa
Msaada tafadhali