Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel aijawahii kumwacha mtu salama ukishindwa kwa silaha basi kwa MAOMBIIITunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini.
View attachment 3257479
Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara makubwa sana kwenye miundombinu kwenye mitaa ya Lamontville na hii sio mara ya kwanza kwani mwaka 2022 napo pia mvua kubwa ilibeba miili ya Marehemu na kuleta taharuki.
View attachment 3257480
Poleni wanaafrika wenzetu! Hili nalo litapita, kwa sasa mtafute namna bora ya uzikaji kwani sio picha bora kuona masalia ya marehemu yakiwa kwenye mafuriko.
View attachment 3257481
Hioo Blue nn ama siijaelewaTunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini.
View attachment 3257479
Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara makubwa sana kwenye miundombinu kwenye mitaa ya Lamontville na hii sio mara ya kwanza kwani mwaka 2022 napo pia mvua kubwa ilibeba miili ya Marehemu na kuleta taharuki.
View attachment 3257480
Poleni wanaafrika wenzetu! Hili nalo litapita, kwa sasa mtafute namna bora ya uzikaji kwani sio picha bora kuona masalia ya marehemu yakiwa kwenye mafuriko.
View attachment 3257481
Na we mleta mada una moyo na picha zako kha YAAN Unaweza KUWA HATA Mwanajeshi WA hamas aiseeTunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini.
View attachment 3257479
Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara makubwa sana kwenye miundombinu kwenye mitaa ya Lamontville na hii sio mara ya kwanza kwani mwaka 2022 napo pia mvua kubwa ilibeba miili ya Marehemu na kuleta taharuki.
View attachment 3257480
Poleni wanaafrika wenzetu! Hili nalo litapita, kwa sasa mtafute namna bora ya uzikaji kwani sio picha bora kuona masalia ya marehemu yakiwa kwenye mafuriko.
View attachment 3257481
Kwa kweli mvua imgeacha wafu wapumzike kwa amaniAfrika ni balaa yani mpaka marehemu wapo kwenye hekaheka za mafuriko. Kupumzika ni mbinguni.
Sure futi 6 ni parefu kiasi... Maji mpaka kuchimbua hivyo ujue basi hiyo ni njia yake ya siku zote watu wameyaingilia tu mkondo wake..mafuriko hayafiki futi sita...
Marehemu ni OG ila makaburi ya mchongo
Na mbaya ni kuwa hii sio mara ya kwanzaSure futi 6 ni parefu kiasi... Maji mpaka kuchimbua hivyo ujue basi hiyo ni njia yake ya siku zote watu wameyaingilia tu mkondo wake..
Hao wazikaji ndio wana shida.. Uzikaji wa mchongo yaani mradi tu wamezika basi.
Nenda Kinondoni utaelewa, kaulize vizuri.Mtu tatu ndani ya track moja
Hii hata Mwanza ipo sana makaburi ya mazingira ya mawe mawe, inasemekana kwa wale "proud to be" marehemu mpya anazikwa kaburi la zamani si wakichimba wanakuta mifupa tu wanasogeza pembeni wanaweka mwili mpya kazi inaisha.Nenda Kinondoni utaelewa, kaulize vizuri.