Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
- Thread starter
- #61
Duuh aisee 😔Hii hata Mwanza ipo sana makaburi ya mazingira ya mawe mawe, inasemekana kwa wale "proud to be" marehemu mpya anazikwa kaburi la zamani si wakichimba wanakuta mifupa tu wanasogeza pembeni wanaweka mwili mpya kazi inaisha.