Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

Hawa walijenga kwenye mkondo wa maji kabsa
 
Ukoo wa mzee Mabula huku nyumba ya milele inaelea 😔 😟 🙁
 
Israel aijawahii kumwacha mtu salama ukishindwa kwa silaha basi kwa MAOMBIII

Mwonyeshen RAISI wao
 
Hioo Blue nn ama siijaelewa
 
Na we mleta mada una moyo na picha zako kha YAAN Unaweza KUWA HATA Mwanajeshi WA hamas aisee
 
Hii sasa ni shida! Kule chato,watusaidie kulinda lile kaburi la shujaa wetu.
 
Meya wa Durban Mheshimiwa Cyril Xaba amekataza watu kuzika kwenye mkondo wa maji. Na inaonekana ikipiga mvua nyingine basi madhara yatakuwa makubwa
 
mafuriko hayafiki futi sita...

Marehemu ni OG ila makaburi ya mchongo
Sure futi 6 ni parefu kiasi... Maji mpaka kuchimbua hivyo ujue basi hiyo ni njia yake ya siku zote watu wameyaingilia tu mkondo wake..

Hao wazikaji ndio wana shida.. Uzikaji wa mchongo yaani mradi tu wamezika basi.
 
Sure futi 6 ni parefu kiasi... Maji mpaka kuchimbua hivyo ujue basi hiyo ni njia yake ya siku zote watu wameyaingilia tu mkondo wake..

Hao wazikaji ndio wana shida.. Uzikaji wa mchongo yaani mradi tu wamezika basi.
Na mbaya ni kuwa hii sio mara ya kwanza
 
Nenda Kinondoni utaelewa, kaulize vizuri.
Hii hata Mwanza ipo sana makaburi ya mazingira ya mawe mawe, inasemekana kwa wale "proud to be" marehemu mpya anazikwa kaburi la zamani si wakichimba wanakuta mifupa tu wanasogeza pembeni wanaweka mwili mpya kazi inaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…