Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaofurahia Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli mlishaingia Mkataba wa Kudumu na Mwenyezi Mungu kuwa nyie hamtokufa na kwamba Kesho yenu mnaijua?Nimekupenda, Mimi ni miongoni mwa wasiojua kushukuru...Mungu amenitendea mengi this year....kuanzia kulibeba lile jiwe na mengineyo...Ila najiona sijashukuru ipasavyo.
OMBA RADHI. I can't let such thoughtless morons get away with mindless vandalism every day, stupidRubbish.
Argument toward the man (personal attack) kilatin ni "Argumentum Ad Hominem" of attacking the people who make an argument, rather than discussing the argument itselfJust agree that you're an authentic Nut.
Waanzie viongozi wasitishe mgao wa umeme maana mabwawa yamejaa.Binadamu ni Watu Wanafiki mno yaani tunamkumbuka na Kumlilia Mwenyezi Mungu pale tu tukiwa na Shida zetu ila tukifanikiwa tunamsahau ghafla.
Tutakufa lakini tutakuwa hatuna dhambi ya kuwaumiza wengine au kuzuia uchunguzi WA kuumizwa kwao, refer Tundu Lisu.Mnaofurahia Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli mlishaingia Mkataba wa Kudumu na Mwenyezi Mungu kuwa nyie hamtokufa na kwamba Kesho yenu mnaijua?
Nilikuheshimu ila nimekudharau mno tu.