Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

Nimekupenda, Mimi ni miongoni mwa wasiojua kushukuru...Mungu amenitendea mengi this year....kuanzia kulibeba lile jiwe na mengineyo...Ila najiona sijashukuru ipasavyo.
 
Nimekupenda, Mimi ni miongoni mwa wasiojua kushukuru...Mungu amenitendea mengi this year....kuanzia kulibeba lile jiwe na mengineyo...Ila najiona sijashukuru ipasavyo.
Mnaofurahia Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli mlishaingia Mkataba wa Kudumu na Mwenyezi Mungu kuwa nyie hamtokufa na kwamba Kesho yenu mnaijua?

Nilikuheshimu ila nimekudharau mno tu.
 
Just agree that you're an authentic Nut.
Argument toward the man (personal attack) kilatin ni "Argumentum Ad Hominem" of attacking the people who make an argument, rather than discussing the argument itself

Hujawahi kua na hoja zaidi ya mipasho, weka hoja mezani tujadili
 
Ni nguvu za asili, Mungu alishatupa akili, sasa kama wewe uliacha mila yako ya asili unategemea mvua kunyesha? Una habari Kuna mizimu ya mvua? Uliambiwa achana na mizimu ila uheshimu mizimu ya kizungu (wanaitwa watakatifu) unategemea nini? Hebu tuwatambue mizimu yetu ya Kiafrika ili mambo yaende sawa.
 
fact mkuu
ni kuomba na kushukuru sasa wengi hichi kipengele cha shukrani huwa tunakipiga mateke
 
Mnaofurahia Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli mlishaingia Mkataba wa Kudumu na Mwenyezi Mungu kuwa nyie hamtokufa na kwamba Kesho yenu mnaijua?

Nilikuheshimu ila nimekudharau mno tu.
Tutakufa lakini tutakuwa hatuna dhambi ya kuwaumiza wengine au kuzuia uchunguzi WA kuumizwa kwao, refer Tundu Lisu.
 
Back
Top Bottom