Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

Watoto wao ushirikishwa tangu wadogo kwenye uendeshaji.
Tukiwa form 3 kuna mwarabu kwao walikuwa na company ya transport dogo alifatwa shule na v8 za enzi hizo hata kipindi kikiendelea aliitwa nje kwenye gari anasaini document kisha urudi darasani dereva anaondoka.Leo mtu mzima anauzoefu mkubwa wa kuendesha kampuni.
Kuna kisa amewahi mblock Mwalimu mkuu kwa nyuma na kichwa cha scania
 
Ilikuaje mkuu tujuze

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Muendelezo wa hizi mali haupo tena... Ni ngumu sana kusikia akina GSM au Dewji kuwa na migogorokama hii

Wale wanarithisha watoto kabla hawajafa. Baba yao gsm kafa jana ila urithi katoa zamani

Mo dewji baba yake yupo hai ila urithi ameshatoa ndio maana mo anatamba

Sisi weusi urithi ni mpaka ufe na tena seke seke lianze
 
Mzee msuya kabakiza watoto wa kike tu,wakiume wote ni marehemu
 


Ni sawa na wa wachaga wa zamani, warishirikisha watoto wakiwa wadogo Dr.Mengi na Mama Mercy walianza kutengeneza Kalamu na watoto wao nyumbani mikono imechafuka na wino sana leo mjinga mmoja aje awatoe aseme anataka kurithi vyote .Damu ingemwagika
 
Haya mambo wahindi na waarabu wapo makini nayo sana. Ndio maana hawapotezi utajiri wao vizazi na vizazi
Wewe unamuoa MTT wa baba yako mkubwa ama mdogo,pia kwa shangazi unaoa,kwa mamdogo/makubwa unaoa.yaani utajiri unakuwa ndani ya familia.
Nishawahi taka oa MTT wa shangazi,home wakakataa.nilitaka tutoroke nchi jamani
 
Lakini sasa cha kushangaza sasa, wengi wa wanufaika wa mali za marehemu aliyekua muislamu, yaani watoto wa marehemu huwa hawataki mirathi itoke kwa sheria ya kiislamu, wanataka itoke kwa sheria ya mirathi (PAEA Cap 352)
Ujinga wao tu huo haswa w.ke ndo wanapenda kwenda mahakamani

Mungu katuleta duniani na katupa mfumo wa kutuongoza kamilifu ambao ni qur'an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…